Huyu Mwanamke simuelewi kabisa hasomeki

Huyu Mwanamke simuelewi kabisa hasomeki

Pumbavu ww
We babu acha tabia mbaya hujui huyo ni mjukuuu wako
Ndiyo nakula Hapo ww unaleta ushambenga wako nitakutindua mzee
Hauna adabu wewe, ningekuwa moderator ningekupiga ban LA miaka 7
 
Huyo dada anataka nature to take its course ! Mwanaume anapenda! Mwanamke anatii! ! Hapo mtafurahi! Naona alijua amekosea kujilengesha kwako cause kwa asili Mwanaume anatongoza. Anatamani hilo litokee au lianze upya na aone kweli unampenda. Wanaume huwa nawaonea huruma sana kwa sababu sikuzote mnashindwa kuwaelewa ubavu wenu wa pili. Mnafikiri mnawafahamu wanawake. ...kumbe hakuna kitu. Wanawake ni watu wa details =emotions.
 
Mlifanya dhambi????? Kama Mlifanya amegundua Kuna mahala unamkera ndio maana anakupotezea
 
Back
Top Bottom