Huyu Mwanamke simuelewi kabisa hasomeki

Huyu Mwanamke simuelewi kabisa hasomeki

Kama unaumia " loho " haina madhara hiyo endelea kuvumilia
Ungekuwa unaumia "roho" chaaap kingeeleweka 😂
Nimeamini wewe sio bahati yangu...

Ngoja nimwachie Mungu tu maana hamna namna tena
 
Hope mko poa

Ipo hivi miezi mitatu ya nyuma nilienda ofisi moja hivi nikiwa nafuatilia mambo flani yangu binafsi. Sasa nilikaa pale mda mrefu sana kwa sababu nilikuatana na marafiki zangu wengi ikawa tunapiga story saana huku tukisibiri huduma. Mara baada ya Mda akaja dada mmoja hiivi mzuri kweli ana hips balaa tupu alafu pia ni mrefu yaani ki ufupi ni mzuri sana. Na yeye akaja akawa ameungana na sisi pale story story sana baadae mimi nikapata huduma wa kwanza nikawaacha pale wote.

Baadae jioni mshikaji mmoja akaniambia oya Yule Demu ameniomba namba yako kasema unaonekana mchangamfu sana alafu una story na comedy comedy so alipenda vituko vyangu.. nikasema haiwezekani mwanamke mzuri kama yule kuomba namba yangu jamaa aksema kweli .. nikaona miyeyushoo jamaaa anazingua. kweli kesho yake Demu kanivutia waya hello mimi fulani tulikutana sehemu flani niakmuambia poa nambie mekupata .

Story zikaanza ikawa kila day lazima anicheki, morning, jioni ku ni wish usiku mwema yaani hivo kila siku kwa mda wa almsot 3 weeks hapo sijamtongoza ila naona kabisa anataka nimtongoze nikasema sitaki ku ji resiii mtoto huyu ni mkali ila ngoja nimuone mwisho wake.

Siku moja nikamuomba appointment... paa mara kakubali tukakutana demu kajiparaa balaaa yani macho kodo kwa vidume .. tukaak sehemu story nikafungungaka wewe mtoto akanielwa asilimia 100%... tukarudi home baada ya sku kadhaa akawa anitafuti tena yeye Mpka mm nimtafute huwa ananitafuta mara moja moja usiku huku akiniuliza mekula, au unafanya nini.. ila kibao kimegeuka kwangu mara nyingi huwa mpaka mimi nimtafute. hebu nielezi hapo wakuu... coz sijamuelewa aisee najaribu kumsoma bado yaani coz every thing anatii,
NOTE: sijawahi kumuambia kitu akagoma, wala sijawahi kumpigia cm asipokee, na kama nikipiga cm kama hajapkea huwa baadae ananitafuta... na kuniomba Radhi
kutesa Kwa zamu zamu
 
Ana punguza interest na ww. Sasa dawa hapo ni kutulia. Na ww kuwa busy.
Kuna kitu wanawake hawatakwambia lakin ndio wako hivyo. Unavyozid kumpa attention ndio anazidi kuwa mbali na ww..
Punguza attention.. kuwa busy na ww.. atakuja ressi kukufuata ...maana anajua muda wowote unaweza kuish bila ww.
 
Nimeamini wewe sio bahati yangu...

Ngoja nimwachie Mungu tu maana hamna namna tena
Pumbavu ww
We babu acha tabia mbaya hujui huyo ni mjukuuu wako
Ndiyo nakula Hapo ww unaleta ushambenga wako nitakutindua mzee
 
Astaghafirulilah laadhim...

Mimi ni babu. Nadokoa tu. We kula kwa tani yako mjukuu...

Hata udokozi unauwekea nongwa??
 
Ana punguza interest na ww. Sasa dawa hapo ni kutulia. Na ww kuwa busy.
Kuna kitu wanawake hawatakwambia lakin ndio wako hivyo. Unavyozid kumpa attention ndio anazidi kuwa mbali na ww..
Punguza attention.. kuwa busy na ww.. atakuja ressi kukufuata ...maana anajua muda wowote unaweza kuish bila ww.
hii ni bonge la Point nime notice kitu hapa mkuu...
 
Back
Top Bottom