Huyu mwanamke nimfanyeje?

Hahahahahah
Nimecheka hapa tu
"Aisee nguvu ziliniishia kiasi kwamba almanusura kuanguka chini"
 
Labda huko kanisani alikutana na upako .....
 
Kwanza huyo dogo atakuwa bado mwanafunzi, pili demu wa aina hiyo siku akileta papuchi yake gonga kisha unaachana naye mazima.
Mimi kuna mmoja alikuwa anazingua hivyo hivyo karibia miezi mitatu, mara leo mara kesho. Jumapili moja akaja room muda wa saa moja jioni, nikamwambia hapa hii leo ndiyo mwisho wa mahusiano yetu ya kitoto, weather tusex au tusisex ila leo ndiyo mwisho sitoendelea na wewe. Akazani masihala, kanipa mzigo nikala kisha nikamsindikiza stand, nikahakikisha amefika salama kwako, nikamblock nyanja zote za mawasiliano bila yeye kuamini kuwa kweli nilikuwa namaanisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…