Huyu mwanamke hanifai kabisa

Huyu mwanamke hanifai kabisa

Usipeleke hivyo v2 home uone akija atauliza vipo wapi
 
We si mwanaume pambana huko kuwepo amani,kama ulivyopambana kumuacha x wako na kuoa huyo .malipo duniani
 
Acha use.ng wewe ni mwanaume kuwa na maamuzi.
 
We Na mkeo wote mnaonekana ni viburi hivyo kaeni muyamalize.
 
Nilikuwa Naye sehemu Fulani nikanunua mazaga ya home,mwanamke kakataa kubeba na Leo mvua imesababisha usumbufu nipo kwenye gari hapa na mizigo yangu sijui yeye alikoelekea
e6e154bf9930ebb7f146d30fafdd5b1a.jpg

Au siku ya ndoa ilikuwa hivi
 
Nilikuwa Naye sehemu Fulani nikanunua mazaga ya home,mwanamke kakataa kubeba na Leo mvua imesababisha usumbufu nipo kwenye gari hapa na mizigo yangu sijui yeye alikoelekea

QUOTE="buzbuz, post: 15496021, member: 354955"]Shika adabu yako...mwanamke sio punda[/QUOTE]

"
Lol naona ameamua aje akujibu na huku...

Ha! Ha! Ha! Haaaaaaa!"
 
Back
Top Bottom