Huyu mwanamke hanifai kabisa

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
15,382
13,772
Nilikuwa Naye sehemu Fulani nikanunua mazaga ya home,mwanamke kakataa kubeba na Leo mvua imesababisha usumbufu nipo kwenye gari hapa na mizigo yangu sijui yeye alikoelekea
 
kwani si mke wako
au umebeba tu mwanamke wa after money ambaye anataka yeye akanunue atakavyo?
 
Labda ni mke wa mtu huyo...amemuona mumewe kwa mbali hivo amekula kona asije kufumaniwa na wewe bureee
 
mkuu huyu in Mke Wangu Wa ndoa kabisa sema ni MTU kiburi sana,nilimwambia aondoke kwao hataki na kitandani mzungu Wa NNE kama kawaida
Mkuu,
Katika mwanadamu wa ajabu wewe ni mmojawapo.
Mwanamke hana tofauti na chupi. Unapoamua kwenda kununua chupi unanunua chupi unayoona inakufaa. Ulipomchagua huyu mwanamke kuwa mkeo sidhani kama ulimuuliza mtu ushsuri. Ulisikiliza au uliona nakshi itakayokufaa maisha ni,sasa Bahati mbaya haikuwa unamlalamikia nani? Mambo ya Mzungu wa NNE ni bedroom affair yako unatakiwa utafute solution mwenyewe hilo hakuna ushauri. Kila mmoja atakushauri anavyoona wakati mwingine uashauri huo hautakufaa.It is the shoe wearer who knows where the shoe pinches..beware! Pole mkuu sababu mitihani yote duniani lakini sio ya make sababu anatibua haya mipango ya maendeleo. Unapopambana na make mkorofi haya public relation yako kwa jamii ni mbovu sababu hukai katika mood yako ya kawaaida, biblia inatuambia hero kukaa kwenye pembe ya papa kuliko kukaa kwenye nyumba kubwa yenye nafasi na mwanamke mkorofi...mwisho wa kunukuu.
 
Back
Top Bottom