Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,295
- 60,915
Hahahah😂😂😂🙌Ningeshangaa upitwe😂
Hahahah😂😂😂🙌Ningeshangaa upitwe😂
Umenikumbusha mbali kuna mmoja alimwaga jamaa yake 2 months before weeding kwa maelekezo ya mchungaji wa kilokole kuwa ndoa yao sio mpango wa Mungu, demu akaenda huko akadungwa mimba na kuachwa tena kwa kashfa, baada ya kujifungua eti anamtafuta jamaa warudiane, jamaa naye akakomaa, amebali kuwa single mama tu na kutembeza kipochi manyoya mjini kwa kila anayeonyesha interest. Wanawake viumbe wa ajabu sana.Huyo mdada alikuwa na mtu mwingine pembeni,mapenzi yamekolea akaona hufai,amepigwa tukio huko ameona bora aendelee na wewe
Anaweza akawa anbeep , na akikubeep ukampa ukweli tegemea tu lawamakwaiyo huwa wanajaribu au siyo