PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,996
- 2,017
Maswali ya darasa la saba dah!
Kama hasani, joni na juma wanalima shamba kwa siku sita itachukua blah! blah!
Sasa huyu mkuu inaonesha hayo maswali alikimbia
Kama hasani, joni na juma wanalima shamba kwa siku sita itachukua blah! blah!
Sasa huyu mkuu inaonesha hayo maswali alikimbia
ndio maana aliwapanga watano. sasa wewe umetaka kuwa peke yako,fanya kazi ya watano.