kibunange
Senior Member
- Feb 18, 2015
- 165
- 148
Waungwana wa JF,
Nilipata mwanamke ambae tuko wanaume watano na wote tunafahamiana, lakini huyu mwanamke naishi nae kwa muda sasa na kaniahidi kuwaacha wengine wote na ameanza kuwakandia.
Tatizo lipo kwenye kufanya mapenzi, anapenda kugegedana kupita maelezo, siku nisipoenda kibaruani tukibaki nyumbani anahakikisha tunagegedana siku nzima.
Usiku ananiamsha analialia kabisa anataka kufanya mapenzi mpaka kuna muda naishiwa pumzi natamani kukimbia mpaka nasinzia kazini kwa kutokulala.
Nisaidieni wadau sijui nimuache?