chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,359
- 27,739
Habari wana MMU
Mpenzi wangu ninapomwambia nimepata safari anafurahi isivyo kawaida, ninaporudi bila kumpatia taarifa anachukia na humkuti nyumbani,.
Ukimuuliza ulikuwa wapi anasema nyumba yote hii nikae peke yangu,. Nilikuwa kwa mashosti zangu napiga mastori ''Hiyo ndiyo kauli yake''
Wakuu hapa si kuibiwa mchana kweupee,..
Huwa natamani kusafiri naye lakini gharama ni kubwa sana i can't afford ukizingatia ni majukumu ya muda mfupi tu hayachukui hata mwezi,..