Huyu mwanamke ananitesa

Huyu mwanamke ananitesa

Sasa juzi kati kademu nimekutana nacho kalikuwa kanatoka kuoga kakawa kananiambia kaka nasikia unaimba nipe nambaako ya whatsapp ntakucheki sapu mida unirushie ngoma zako.

Nikamjibu sawa nikampa then nikasepa sasa jioni kameanza kunichatisha mambo nikawa nachati nacho sasa naona mada kanazoongea hazieleweki mara nilikuwa nakusalimia mara hivi sasa nije kwenye point kuu kamezidisha mazoea now na mimi nataka nikale kimasihara bila kutongozana je wakuu nitumie mbinu gani nimle na nisipigwe hela iwe kimasihara then muhuni nipite zangu kushoto?
Alienda bafuni na simu? Hii kama ni chai basi imechemshiwa kwenye kuni
 
Back
Top Bottom