Huyu mwanamke ananichokonoa sana, sasa..........?

Huyu mwanamke ananichokonoa sana, sasa..........?

fesi buku picha za familia waka comment mkeo mzuri,watoto wamenenepa na we unafurahi?hiyo aaaaah:nono::nono: ukishafika umri fulan unaangalia vitu vya kuacha rakifi badala ya kuona raha unajikuta ni karaha kama uliyoipata.
 
nilivosoma nikajua sijui unamwongelea nani yani kumbe ni mkeo!
punguza hasira kaka!
mwambie mke wako akue kidogo!
unaweza usiwe nahata rafiki mmoja wa kike fb na bado ukawa fuska wa kutupwa
na unaweza usiwe na hata account fb lakini kiwembe kwisha kazi
mruhusu akufahamu zaidi!
 
"Mungu ameumba jambo jipya duniani mwanamke atamlinda mwanaume" ni agizo la Mungu anatimiza maandiko ya kukulinda wewe,tena anaonekana anakupenda kweli,ogope mwanamke asiyejali mmewe anachofanya.
 
Nadhani hii ni changamoto ya kawaida sana katika ndoa zetu tulio wengi, sishangai hata kidogo, ana mapenzi na wewe, anakujali sana hasa ukizingatia mnaishi Mikoa tofauti anajua kwa mwanaume lolote laweza kutokea including cheating. Mwelimishe akuelewe vema kuwa wewe ni mtu wa namna gani, ya kwamba wewe sio kipanga wa hivyo anavyodhani, na hata kama ulikuwa ulikwisha acha.

Najua maisha ni magumu, yanatutenga na familia zetu katika harakati za kuyamudu, lakini tujitahidi sana kama inawezekana kuwa pamoja na familia zetu (ana kwa ana) ili kuondoa ama kupunguza hizi changamoto za ndoa.

Pole kwa kukwazwa, lakini hongera pia kwa kupendwa na mwenzako yaani mkeo, wengine hata hiyo nafasi hawana, imekuwa kama story tu kwamba iliwahi tokea.

Ila isiwe too much, wanasema too much of anything is harmful. Awe na kiasi
 
mm cjaelewa mkeo kakuchokonoa nn sasa? Huo wivu au? Hebu jiulize y acmuulize maswali hayo rafiki yako x na y akuulize ww? Wewe ni mume wake tena mko mbalimbali kuuliza co crime jamani. Pia kama una kereka ucongee nae kwa cm cku ukienda kaeni muongelee jambo hilo atajiirekebisha. Pia suala la fb kuweka picha ni ushamba tu. Mkeo ana akili sn acjiunge kabisa fb hakuna ishu. Huko ndiko watu wanagombana na wapenz wao na wake bila sababu kisa fb, fb! Mi nakwambia umepata mke bora sn belive me. Hivyo vitu vidogo dogo potezea tuu. Ukivichokonoa kama unavyosema utakuja kuniambia.
hii imetulia... uisome vema
 
Back
Top Bottom