BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,244
- Thread starter
- #21
Ndugu mimi nlmuambia ampotezee....kama akshndwa kumpotezea nd nkamshauri afanye hvyo....sema kilichonifanya niombe mtazamo wa wengne n kwakuwa jamaa ana kila dalili za kumrudia huyo demMwambie jamaa apretend kurudi kweye umaskin wa kupindukia hata kwa miezi miwili tu aone kama hata atapata salamu kutoka kwa huyo ibilisi ex wake