Huyu mwanamke ametuaibisha

Huyu mwanamke ametuaibisha

Watu bana

Sasa aibu za huyo mwanamke zinawahusu nini?

Acheni kupenda kuvaa aibu za wengine

Mwambieeni akubali matokeo
 
Hizo picha ziweke jukwaa la wakubwa ili tuzione bila chenga.
 
hizo picha zimevuja kwa upendeleo sisi watu wa Dar hazijatufikia
 
Kuna mtumishi mmoja wa idara moja hapa mbulu. Ameolewa na mume wake yuko Arusha mjini. Kwa ufupi ni malaya kupindukia hadi sisi watumishi wenzake tunaona aibu Kwa anachokifanya kutokakana na tabia yake ya umalaya na ulevi kupindukia. Katika kutembea na wanaume mbalimbali akaangukia kwenye mikono ya mwanaume mmoja ambaye Kwa kifupi pia ametuudhi sana. Ameingia ndani ya geto la kidume akagagaduliwa kuanzia sebuleni mpaka chumbani.. Sasa sijui ni Kwa sababu ya kunogewa au ulevi yule bwana akampiga picha za uchi kuanzia akiwa sebuleni mpaka chumbani wakiwa uchi na yule bwana japo mwanaume anaonekana alikuwa smart sana kwani yeye hakujipiga mwili mzima isipokuwa yule mwanamke akiwa uchi wa mnyama kitandani mpaka sebuleni mpaka sehemu za siri zikionekana.. Kwa Bahati mbaya picha toka Kwa yule jamaa zikavuja zikasambaa mtaani mpaka Mume wake alizipata.. Hatujui mume wake ameamua kufanya nini ila inavyoonekana yule bwana ameamua kukaa pembeni.. Tatizo yule mwanamke amemchukia kila mtumishi Kwa kisingizio kwamba ndo waliovujisha issue... Anaishi maisha magumu sana rohoni japo anaonekana kuwa na roho ngumu sana...Ningeweka picha hapa ila sheria hairuhusu Kwa sasa... Naomba ushauri wanajamvi tumsaidieje mwenzetu ili arudi katika hali yake? Picha hazifai ni za aibu sana isitoshe pia ni mtumishi tena wa serikali wa miaka mingi.. Tunaomba mawazo yenu
Hiyo hakuna cha kumsaidia, mwacheni, hayo ndio mavuno ya kile alichokipanda. Sana Sana lakumsaidia labda akakiri dhambi zake madhabauni. ILA watu Kama hawo onabidi kusambaza hizo picha hadi ndugu zake wazipate iwe fundisho kwake Na wanadada wengine wenye tabia Kama hizo.
 
Sasa aibu gani aliyokutia wewe wakati hayo ni maisha yake? Jali yako na aibu zako ya kwake muachie mwenyewe
 
Nawewe mleta uzi ni muongo tena hatari! Umeyaleta humu ili iweje. Ya Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe. Aje mhusika mwenyewe. Kama mhusika amenyamaza nawewe nyamaza kimya milele.
 
Back
Top Bottom