Huyu mwanamke ametuaibisha

Huyu mwanamke ametuaibisha

Ukifatilia yasiyokuhusu utakutana na yanayokukera kama haya majibu ya mwendo kasi

yani humu unapewa majibu kulingana na ulivyo
 
Kuna mtumishi mmoja wa idara moja hapa mbulu. Ameolewa na mume wake yuko Arusha mjini. Kwa ufupi ni malaya kupindukia hadi sisi watumishi wenzake tunaona aibu Kwa anachokifanya kutokakana na tabia yake ya umalaya na ulevi kupindukia. Katika kutembea na wanaume mbalimbali akaangukia kwenye mikono ya mwanaume mmoja ambaye Kwa kifupi pia ametuudhi sana. Ameingia ndani ya geto la kidume akagagaduliwa kuanzia sebuleni mpaka chumbani.. Sasa sijui ni Kwa sababu ya kunogewa au ulevi yule bwana akampiga picha za uchi kuanzia akiwa sebuleni mpaka chumbani wakiwa uchi na yule bwana japo mwanaume anaonekana alikuwa smart sana kwani yeye hakujipiga mwili mzima isipokuwa yule mwanamke akiwa uchi wa mnyama kitandani mpaka sebuleni mpaka sehemu za siri zikionekana.. Kwa Bahati mbaya picha toka Kwa yule jamaa zikavuja zikasambaa mtaani mpaka Mume wake alizipata.. Hatujui mume wake ameamua kufanya nini ila inavyoonekana yule bwana ameamua kukaa pembeni.. Tatizo yule mwanamke amemchukia kila mtumishi Kwa kisingizio kwamba ndo waliovujisha issue... Anaishi maisha magumu sana rohoni japo anaonekana kuwa na roho ngumu sana...Ningeweka picha hapa ila sheria hairuhusu Kwa sasa... Naomba ushauri wanajamvi tumsaidieje mwenzetu ili arudi katika hali yake? Picha hazifai ni za aibu sana isitoshe pia ni mtumishi tena wa serikali wa miaka mingi.. Tunaomba mawazo yenu
Tuwekee picha ndiyo twaweza kushauri vizuri
 
Hizo picha unaweza ukamziba uso, unakua umemsitiri mwenye makosa na kutusitiri sisi.

Akiweka picha mnishtue jamani.
 
Npe hzo nione then nitamuombea maana cyo yy Bali ni mashetani aliyo beba bila picha kaa kimya xx watu wazima
 
Huyo demu ni mtu mzima na akili timamu kitendo cha yeye kugawa k***** kama yeye tu mwenyewe hapa duniani ana genye muache avune alichopanda.Siwezi kumuonea huruma mpumbavu kama huyo.Huwezi kujifanya hamnazo alafu yakikufika unataka sympathy......[HASHTAG]#acha[/HASHTAG] anyoooke#
 
Back
Top Bottom