DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 325
- 1,631
Huyu ndio kamloga Mke wako amekosa mahaba na weweKuna dada nafanya nae biashara jiran. Yeye ni mgeni amekuja karibuni. Ni mzuri saana na ni single maza. Sasa mwana mmoja ambae tunafanya nae biashara ya aina moja ola ofisi yake iko mtaa mwingine akatokea kumuelewa huyu demu. So akaanza kufukuzia. Akawa anakuja pale mtaa biashara yetu ilipo mara kwa mara
Huyo jamaa hajaoa, so yuko tayari kama demu akiwa material awe nae ktk serious relationship.
Sasa maajabu mwana akiondoka demu anakuja anaanza kunisimulia namna anavotongozwa na jamaa.
Sasa aliponishangaza akasema, yaan huyu jamaa siwezi mpa mzigo. Bora nikupe wewe. Akiwa na maana mimi. Sasa anajua me nmeoa na wife huwa anakuja ofisin tunashinda nae, so automat anajua akinipa me ntakula tuu ntachezea then ntamuacha sina future nae. Lkn mwana anaweza oa.
Sasa nawaza anawaza nn.. anataka kuchezewa tu? nngesema labda amefata pesa, lkn jamaa tunafanana kipato, sababu ukubwa wa biashara ni ule ule tuu... kwanini amkatae single boy anitake mume wa mutu.
HahaaUmepewa taarifa tu unakuja kutangaza, siku ukipewa vingine si unafunga vipaza sauti mtaani na kulipia tangazo lako TBC, ITV, wasafi nk
Sipo interested.. huwa sichepuki kwa demu anaefahamiana na wife. NeverBro nenda taratibu unaweza ukapoteza mmkee inaonekana demu alikuwa akikufwatilia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umepewa taarifa tu unakuja kutangaza, siku ukipewa vingine si unafunga vipaza sauti mtaani na kulipia tangazo lako TBC, ITV, wasafi nk
Mada za kipumbavu kivipi ? Haya ndio maisha halisi wanayoyaishi watanzania wasomi wenye phd na maprofesa huwezi aminiMada za jamii forum zimekua za kipumbavu.
She doesn’t see a future changes from her previous relationship ndio maana at least ww anaepiga story nae kuliko jamaa kuna weakness ameiona kwa jamaa na atateswa km akilazimisha kuishi naeKuna dada nafanya nae biashara jiran. Yeye ni mgeni amekuja karibuni. Ni mzuri saana na ni single maza. Sasa mwana mmoja ambae tunafanya nae biashara ya aina moja ola ofisi yake iko mtaa mwingine akatokea kumuelewa huyu demu. So akaanza kufukuzia. Akawa anakuja pale mtaa biashara yetu ilipo mara kwa mara
Huyo jamaa hajaoa, so yuko tayari kama demu akiwa material awe nae ktk serious relationship.
Sasa maajabu mwana akiondoka demu anakuja anaanza kunisimulia namna anavotongozwa na jamaa.
Sasa aliponishangaza akasema, yaan huyu jamaa siwezi mpa mzigo. Bora nikupe wewe. Akiwa na maana mimi. Sasa anajua me nmeoa na wife huwa anakuja ofisin tunashinda nae, so automat anajua akinipa me ntakula tuu ntachezea then ntamuacha sina future nae. Lkn mwana anaweza oa.
Sasa nawaza anawaza nn.. anataka kuchezewa tu? nngesema labda amefata pesa, lkn jamaa tunafanana kipato, sababu ukubwa wa biashara ni ule ule tuu... kwanini amkatae single boy anitake mume wa mutu.
Huyo mwanamke ni mjanja sana.unasetiwa mkuu, toka nduki.. usiangalie hata nyuma
View attachment 2935852
CVKwani haujui ukiwa na mke ndo rahisi kukubaliwa sababu anajua hautomganda pili ukiweza hudumia mke huatoshindwa kumuhudumia