Huyu mwanamke amenishangaza

Huyu mwanamke amenishangaza

Kuna dada nafanya nae biashara jiran. Yeye ni mgeni amekuja karibuni. Ni mzuri saana na ni single maza. Sasa mwana mmoja ambae tunafanya nae biashara ya aina moja ola ofisi yake iko mtaa mwingine akatokea kumuelewa huyu demu. So akaanza kufukuzia. Akawa anakuja pale mtaa biashara yetu ilipo mara kwa mara

Huyo jamaa hajaoa, so yuko tayari kama demu akiwa material awe nae ktk serious relationship.

Sasa maajabu mwana akiondoka demu anakuja anaanza kunisimulia namna anavotongozwa na jamaa.
Sasa aliponishangaza akasema, yaan huyu jamaa siwezi mpa mzigo. Bora nikupe wewe. Akiwa na maana mimi. Sasa anajua me nmeoa na wife huwa anakuja ofisin tunashinda nae, so automat anajua akinipa me ntakula tuu ntachezea then ntamuacha sina future nae. Lkn mwana anaweza oa.

Sasa nawaza anawaza nn.. anataka kuchezewa tu? nngesema labda amefata pesa, lkn jamaa tunafanana kipato, sababu ukubwa wa biashara ni ule ule tuu... kwanini amkatae single boy anitake mume wa mutu.
Mademu huwa wanajua kusoma wanaume kwa haraka sana. Ameshaona kwako ni rahisi kuvuna. Inaonekana yeye hataki serious relationship. Yeye anataka buzi la kuchuna ili maelengo yake ya biashara yatimie na ameona wewe ndiyo utakuwa msaada zaidi ya huyo mwenzako. Ulishakia ule usemi wa hotelini wa ''faaaa kajaaaa, pakua wali wa jaaaa? (fala kaja, pakua wali wa jana)
 
Wanawake huwez wajua,niliwah kupendwa na mke wa mtu pisi ya hatari hadi nilibak kushangaa,hadi nikahis labda hajui kama nina mke kumbe taarifa zote kuhusu mimi alikuwa anazijua

Mimi na yeye wenza wetu walikuwa mbali,wake mikoani wa kwangu ndani ya mkoa mmoja ila wilaya tofauti

ILa nilifaidi sana hilo penzi
 
Kuna dada nafanya nae biashara jiran. Yeye ni mgeni amekuja karibuni. Ni mzuri saana na ni single maza. Sasa mwana mmoja ambae tunafanya nae biashara ya aina moja ola ofisi yake iko mtaa mwingine akatokea kumuelewa huyu demu. So akaanza kufukuzia. Akawa anakuja pale mtaa biashara yetu ilipo mara kwa mara

Huyo jamaa hajaoa, so yuko tayari kama demu akiwa material awe nae ktk serious relationship.

Sasa maajabu mwana akiondoka demu anakuja anaanza kunisimulia namna anavotongozwa na jamaa.
Sasa aliponishangaza akasema, yaan huyu jamaa siwezi mpa mzigo. Bora nikupe wewe. Akiwa na maana mimi. Sasa anajua me nmeoa na wife huwa anakuja ofisin tunashinda nae, so automat anajua akinipa me ntakula tuu ntachezea then ntamuacha sina future nae. Lkn mwana anaweza oa.

Sasa nawaza anawaza nn.. anataka kuchezewa tu? nngesema labda amefata pesa, lkn jamaa tunafanana kipato, sababu ukubwa wa biashara ni ule ule tuu... kwanini amkatae single boy anitake mume wa mutu.
Madem wa kujitongozesha wanakataga STIM

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
We na yeye nendeni kwa huyo single nigga awaoe.

Huyo mdada anakuchukulia shoga yake.
 
Sasa mzigo gani atakupa ? Au uchi wake if yes atakuwa amekuona wewe ni MTU wa uzinzi

Vijana jiheshimuni mpate kuheshimika na mkiheshimika mtapata wake wazuri ambao wanajielewa na maisha yatakuwa matamu.
 
Back
Top Bottom