joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,981
Nashindwa kuelewa kuhusu hii gender kwamfano mimi kuna dada mmoja mzuri sana nafanya nae kazi aiseh sina mpango nae na uzuri wake .... nipo busy sana na nina mu avoid mostly kiufupi huwa sitaki mazoea na wadada apa kazini kwangu lakini yeye ndo amekuwa mtu wa kwanza kunionesha ananitaka na anawaambia ata watu .......nadhani hiyo pia ni nature ya mwanamke sijui ???
NB: bro tunza ndoa yako
NB: bro tunza ndoa yako