Huyu mwanamke ameniroga,,,


Sasa ww mtu akicomment kutetea wanawake una assume kwamba hajipendi, hana mwili mzuri, unanijua mm au unanifananisha na mkeo? Naona unaorodhesha sifa za mkeo tu hapo. Usilolijua sawa na usiku wa Giza! Inaonekana mkeo ana mabaka mapajani ndomana unalaumu wanawake, pole sana.[emoji20]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika KIOO KINADAGANYA SN MKUU, ,,HAKUNA MTU DUNIANI atasema Mimi MBAYA,,,utajiona ni BEYONCE au JLO na KITMBI CHAKO,,,, yaonyesha UMEGUSWA SN NA comment zangu,,,sasa kama wewe ni mrembo nini KIMEKUGUSA,,,hadi UTOKE POVU ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nitabia mbaya wanayo baadhi ya wadada kusumilia background zao kwa wapenzi wapya
 
Kama ww unavojiona John Cena unajiona una Six Packs wakati in reality una bonge la kitambi kama Furushi la Dhambi..!! You are so delusional [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😳hata Mimi ningekimbia.
 
Bora hata umemjibu maana naona hajui anaandika nini
Hata kama sisi hatuna hayo maumbile anayoyakashifu hatuwezi mpongeza kwa alichokiandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan kama siyo mkewe basi atakuwa hawara yake ndiye yuko hivo....naona anakazia jiwe la gizani sijui ukweli mchungu anadhani tunareact kwa sababu tuko kama alivyokashifu ..Bali ni kwa sababu lugha aliyotumia Kumchambua mwanamke ni chafu....hata kama hatuko hivo haisababishi sisi tumshangilie kwa kuandika upuuzi...hilo jiwe LA gizan liende kwa mkewe sisi hatufanani naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAZOEA TU ,akili yako umeshaielekeza kwa huyo wa goli sita,sasa kwa wengine unaona kugeni...PUNGUZA HIYO MAMBO,UTACHUBUKA BURE
 
Mkuu na mimi nataka nimtengeneze kiumbe mmoja anaye nipa presha kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo umeona na ww umtengeneze sio!!
Nitafute nikupe dawa na mbinu utafurahi mwenyewe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo umeona na ww umtengeneze sio!!
Nitafute nikupe dawa na mbinu utafurahi mwenyewe....

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hata kama ikiwa ya kutoa kafara yeye mwenyewe safiii tu fyeekelea mbalii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…