Huyu mwanajeshi ananichanganya


kitendo cha kuskia tu "mwanzajesh" tumbo linauma
 
Hivi,,, huyo boi wako wa sasa ambaye ni mjeda, na yule mwingine wa kitambo.oo, yupi umempenda na yupi ume mtamani!??

Samahani lkn, nataka kujua ili nikusaidie!
 
Yaan mwezi 1 tu umegundua kuwa anakujari kuliko wazamani.! kivipi? kipesa au kupigiwa sim kila mara au anakupatia vipesa(ofa) vingi au.? wee lazima utakuwa upo kipesa zaidi. vinginevyo useme anakujar kivp
 

huyu loyda kilaza kweli
 
Last edited by a moderator:
kwenya BLUU: Its very interesting story kwamba usiku hulali while kwa sasa unajivuta kuamka..


mimi nipo njia panda Himo/Moshi wewe ya wapi

Hapa nipo njia panda

Nipeni mawazo yenu wakuu
 
Hapa ndio wengi tunapotea, sio kwenye uchumba tu bali hata kwenye maisha kwa ujumla. Tunashindwa kutofautisha Mawingu na Mvua......
 

chagua moja dada
 

kumbuka kuwa "Kuchamba kwingi , mwisho utajipiga kidole cha m......ndu"
 
kama unamchumba huyo mjeda tupa kule kwani mjeda ndo nini ati??
Mwambie uko in pair akatafute aliye single, ukiendekeza tabia za kubadilisha maamuzi yako kwa sababu za kitoto maisha yako yote utakua hivyo.
Huyo mjeda unaona anajali kwa sababu anatafuta nafasi kwa sababu ashajua una mtu lazima afanye lolote ili akishakukamata ndo utajua rangi yake halisi.
Jiangalie sana na hizo hisia zako wewe.
 
haahhh haaaaahhh...., mabinti wa ki leooooo..!!
 

Inawezekana nikawa siuamin moyo wangu kwa hili otherwise asante kwa ushauri
 
lazima siku mbili hizi uanze kumpenda sikakutamkiq kukuoa. hiyo ni kawaida ya mwanaume yeyote ukimsumbua kidogo anakuja ja wazo atakuoa anaanza kabisa kuchagua ukumbi wa harusi hoteli ya honeeeeemun mpe mzigo hata ukimuita mpenz atakujibu we dada usiseme hivyo mke/mchumba wangu akiina huzi sms zako utaniharibia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…