Huyu mwanafunzi nimfanyeje?

Hebu muulize anaitwa nani na babake anaitwa nani, yani akupe full details halafu ...ulitaje huku huenda huku kuna ndugu zake/ wazazi wake...wataenda kumfundishia nyumbani nahic utakua ushamuepuka.
 
Labda mtoa mada anania ya dhati na amejaribu njia za kumuepuka ameshindwa. Ss kuomba ushauri ni sawa koz anaona anazidiwa saikolojia na huyo mtoto ni vyema mkampa experience za kuwaeskapu maform six hatujui elimu ya mtoa mada labda kazidiwa elimu na huyo dogo kitu kinachomfanya asijue ni mbinu gani aitumie.
Kuwa mwanamme,mvulana kumiliki gari kote huku hakumfanyi yy kutotegwa na mtoto wa FM six msichana anayejua nini anafanya , wakti gani na kwa lengo gani.

Inawekana huyo fm 6 ashapiga malengo ya mbali sana na huyo jamaa bila kuculculate the risks involved hivyo hatoacha kusumbua unless jamaa apate njia mujarabu.
Pia mtoa mada ungekutana na huyo fm6 sehemu ya public umsikilize na pia umueleze hatari ya jambo analotaka iwapo ni mahusiano.

Watu wengi humu Wanasapoti uovu just hautokei ktk familia zao.

Binafsi nina ndugu mwanafunzi ameshawishika na mahusiano ikapelekea mpaka kuacha shule yaani inaniuma sana ukizingatia nilijitolea kumsapoti but more importantly najua maisha yalivyo bila msingi wa elimu.
 
Nakushauri kaka one day na wewe utakuwa na watoto watakuwa kama hivyo cha msingi jua kabisa utakavyofanya ndo utakavyofanyiwa.
kwa kuwa na we ni mzazi jaribu kuvaq ujasiri mshinde Shetani.haya mambo hayana mshahara.
 
cha ajabu mtu kaomba ushauri wengi wanamchallange
pia mpeni mtu ushauri mzuri.
kaka naunga mkono ushauri wako dunia ni mpito.
 
Nitumie number yake haraka. Ukisha nitumia hiyo number muache mtoto wa watu asome. Utafungwa
 
Unaogopa zawadi ya papuchi?Kweli Mungu anampa upele asiye na kucha ili asiweze jikuna!Huyu alistahili sasa kawa karudishwa kati hata mara 7
Huu ndio ushauri unaotakuwa,huyo mtoto atakuwa ana matatizo kwao pengine kwa kuwa ameona una gari ndio maana anakusumbua.Kaa nae umsisitize ajijenge na ajiwekee msingi katika elimu yake badala ya kupokea ushauri wa kuharibu
 


Unatupotezea muda, wanasaikolojia hatufanyagi hizo kazi na nilijua tu ungemaliza uzi kwa jinsi ulivyomaliza. Dah! Wanaume wenzangu wamekuwa wepesi mno siku hizi yani hata kabla kichwa kidogo hakijapi** ubongo, macho na moyo vishapi** siku nyingi!! Mkuu kama hata hili umeshindwa sasa naamini ni kwa nini vyeti vinakaguliwa na hata wale wanaotakiwa kukaguliwa.
 


Unatupotezea muda, wanasaikolojia hatufanyagi hizo kazi na nilijua tu ungemaliza uzi kwa jinsi ulivyomaliza. Dah! Wanaume wenzangu wamekuwa wepesi mno siku hizi yani hata kabla kichwa kidogo hakijapi** ubongo, macho na moyo vishapi** siku nyingi!! Mkuu kama hata hili umeshindwa sasa naamini ni kwa nini vyeti vinakaguliwa na hata wale wanaotakiwa kukaguliwa.
 
Si umkule tuu mkuuu,kula hata na utumbooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji113]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…