donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 May 31, 2017 #21 Kwa huo usemi wa kujila, bila shaka kijana ulipitamo mujibu wa sheria
Bigbon JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 600 Reaction score 731 May 31, 2017 #22 Mgibeon said: Naweza kuchoma shule Moto nikimkuta binti yangu hivi, Click to expand... Unataka kufungwa wewe..Uchome shule moto.
Mgibeon said: Naweza kuchoma shule Moto nikimkuta binti yangu hivi, Click to expand... Unataka kufungwa wewe..Uchome shule moto.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,710 Reaction score 128,215 May 31, 2017 #23 Deadbody said: Ualimu ni wito View attachment 516666 Click to expand... Nikikumbuka nilivyochapwa Bakora za kufa Mtu na Walimu wangu katika Shule za Msingi na Sekondari nilizosoma naona kama vile Wadogo zetu wa siku hizi hamchapwi na hata Walimu wenu nao wa siku hizi wamekuwa wapole sana na pengine Ulokole umewakomaa.
Deadbody said: Ualimu ni wito View attachment 516666 Click to expand... Nikikumbuka nilivyochapwa Bakora za kufa Mtu na Walimu wangu katika Shule za Msingi na Sekondari nilizosoma naona kama vile Wadogo zetu wa siku hizi hamchapwi na hata Walimu wenu nao wa siku hizi wamekuwa wapole sana na pengine Ulokole umewakomaa.
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,432 Reaction score 21,854 May 31, 2017 #24 Bigbon said: Unataka kufungwa wewe..Uchome shule moto. Click to expand... Huwezi kumdanganya mwanangu kiasi hicho halafu nikutazame.. Mtoto ananiuma kuliko kitu chochote Mkuu.. Bora hata ucheze na Mkewangu kuliko Mtoto.
Bigbon said: Unataka kufungwa wewe..Uchome shule moto. Click to expand... Huwezi kumdanganya mwanangu kiasi hicho halafu nikutazame.. Mtoto ananiuma kuliko kitu chochote Mkuu.. Bora hata ucheze na Mkewangu kuliko Mtoto.
Bigbon JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 600 Reaction score 731 May 31, 2017 #25 Mgibeon said: Huwezi kumdanganya mwanangu kiasi hicho halafu nikutazame.. Mtoto ananiuma kuliko kitu chochote Mkuu.. Bora hata ucheze na Mkewangu kuliko Mtoto. Click to expand... Mshughulikie Mwalimu sio shule......teh teh teh......
Mgibeon said: Huwezi kumdanganya mwanangu kiasi hicho halafu nikutazame.. Mtoto ananiuma kuliko kitu chochote Mkuu.. Bora hata ucheze na Mkewangu kuliko Mtoto. Click to expand... Mshughulikie Mwalimu sio shule......teh teh teh......
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,432 Reaction score 21,854 May 31, 2017 #26 Bigbon said: Mshughulikie Mwalimu sio shule......teh teh teh...... Click to expand... Shule ndio inampa Mwalimu Kiburi.. Yaani nikichoma shule lazima serikali itaangalia namna ya kudeal na walimu kabla sisi hatujadeal na shule.
Bigbon said: Mshughulikie Mwalimu sio shule......teh teh teh...... Click to expand... Shule ndio inampa Mwalimu Kiburi.. Yaani nikichoma shule lazima serikali itaangalia namna ya kudeal na walimu kabla sisi hatujadeal na shule.