Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
kamshtakie kwa kaka yake.tena ukiwa umevaa kimini au skin jeans,ukifika tu anza kulia huku umemkumbatia,ikiwezekana usiwe umevaa sidiria
kasahsema mme wake yupo jf alafu bado kapost tena sasa sijui amemblock asione post za mmu ama vipi??? au anatafauta attentiin zetu tu huyu??Si ndo hapo sasa....
hahah yaani ww ndo umemaliza kabisaa
Hii ni nyingine ya mwanzo ameandika wanaume ni wakatili hawamuogopi Mungu
Labda anahisi kuweka sredi nyingi zitampunguzia stress maana mara ya kwanza kasema mume wake anatembea na dada yake,ya pili mume wake kampa kichapo kwa hiyo anawalaani wanaume wote kwa ukatilisasa si angeacha ile ile moja ila awe anatuwekea UPDATES tu kwa kila linaloendelea
leo hii nimeanzisha thread ya jinsi mume wangu anavyonitenda,sasa amenipiga mangumi na mateke eti ninamboa,nahisi naye ni member wa humu jf]
Labda anahisi kuweka sredi nyingi zitampunguzia stress maana mara ya kwanza kasema mume wake anatembea na dada yake,ya pili mume wake kampa kichapo kwa hiyo anawalaani wanaume wote kwa ukatili
Bora kapigwa Ban wengine wakisha kasirishwa huko wanataka watujumuishe kwenye ugomvi wao,huyu atakuwa alinaswa kibao tu,angepigo heavy angekumbuka hata kibodi ilipommmh hana tofauti na yule wa jana aliyekuwa anatus wanawake nasikia kalimwa ban
Naona kuna matumizi mabaya ya jukwaa maana amepost toka mchana kila linaloendelea kwake
hv hii ni nyngne kumbe aahahaaaaa
umestukia eeeh? anatufanya watotoooBora kapigwa Ban wengine wakisha kasirishwa huko wanataka watujumuishe kwenye ugomvi wao,huyu atakuwa alinaswa kibao tu,angepigo heavy angekumbuka hata kibodi ilipo
Eti mume wake anatembea na dada yake wa kuzaliwa ambaye ni wifi yake hiyo inaingia akilini kweli? ameshindwa kuawaambia ndugu na wazazi wa mumewe au ameamua kumchafua tu hubby wake kwakuwa amemuudhi? ndoa hizi majanga aisee no privacyumestukia eeeh? anatufanya watotooo
leo hii nimeanzisha thread
ya jinsi mume wangu anavyonitenda,sasa amenipiga mangumi na mateke eti
ninamboa,nahisi naye ni member wa humu jf]
Kama wewe ni Mkristo chukua biblia yako fungua Zaburi ya 51 soma yote na then 23 ukimaliza piga magoti sehemu ambayo uko peke yako ongea na Mungu mkumbushe ahadi zake kuhusu ndoa uku ukisema baadhi ya maneno kwenye biblia kama'alichokiunganisha Mungu...'Na kadhalka kwa siku tatu.Kama sio mkristo naomba samahani usinirarue kwa maneno.
leo hii nimeanzisha thread ya jinsi mume wangu anavyonitenda,sasa amenipiga mangumi na mateke eti ninamboa,nahisi naye ni member wa humu jf]
Kama bado unampenda tafuta darasa la Karate au Kung fu ujiunge mara mooja!