huyu mume wangu vipi?

huyu mume wangu vipi?

Fatmata

Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
66
Reaction score
34
leo hii nimeanzisha thread ya jinsi mume wangu anavyonitenda,sasa amenipiga mangumi na mateke eti ninamboa,nahisi naye ni member wa humu jf]
 
leo hii nimeanzisha thread ya jinsi mume wangu anavyonitenda,sasa amenipiga mangumi na mateke eti ninamboa,nahisi naye ni member wa humu jf]

Kwa kifupi njoo nikuliwaze. Asikuzingue!
CC: mume wako humu jf
 
Wanawake mna kazi aiseee;mchana jamaa anakukata makonde tena ya haja halafu unampikia mchana huohuo,usiku unamuadalia maji ya kuoga,dinner na dudu unampa anaishughulikia balaa.
 
Fatmata Mamie pole sana sijui nicomment vipi, jus toka mtandaoni jaribu kurelax, cool down maana utaendelea kutupostia pumba humu
 
Last edited by a moderator:
Fatmata kuwa serious!, weka mambo hadharani watu wakusaidie.
 
Last edited by a moderator:
Pole.
Mvizie akiwa amelala nawe umrudishie,mlango uache wazi lakini akistuka zikuokoe mbio.
 
leo hii nimeanzisha thread ya jinsi mume wangu anavyonitenda,sasa amenipiga mangumi na mateke eti ninamboa,nahisi naye ni member wa humu jf]
Ole wako urudi home leo
notice_funny_signs_01.jpg
 
Kama wewe ni Mkristo chukua biblia yako fungua Zaburi ya 51 soma yote na then 23 ukimaliza piga magoti sehemu ambayo uko peke yako ongea na Mungu mkumbushe ahadi zake kuhusu ndoa uku ukisema baadhi ya maneno kwenye biblia kama'alichokiunganisha Mungu...'Na kadhalka kwa siku tatu.Kama sio mkristo naomba samahani usinirarue kwa maneno.
 
nenda polisi dada yangu kama unahis umeonewa sio Jf
 
leo hii nimeanzisha thread ya jinsi mume wangu anavyonitenda,sasa amenipiga mangumi na mateke eti ninamboa,nahisi naye ni member wa humu jf]

...Mbona unatoa siri zenu za ndani...!?
 
JF sio jukwaa la kupost status ya ndoa yako kila dakika...khaaa!!!
Naona kuna matumizi mabaya ya jukwaa maana amepost toka mchana kila linaloendelea kwake
 
Na anadai amebadilika na anatembea na dada yake wa tumbo moja,visa hivyo ni baada ya kupata 30mil na kujenga nyumba na amekuwa mrevi .

Kaongee na wazazi wake kama hataki kuwasikiliza dai taraka mahakamani na mgawane mali
 
Back
Top Bottom