Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
SureHahaha..kwisha habari yako
Hapo ni kama anataka ku-force umuoe au ni kama anaona anatoa papuchi without any gain
Icho nilichopanga kujibu kiko sawa?Amestuka,anaona mbunye yake inachakazwa na haoni dariri yeyote kwako ya michakato ya kubeba mzigo.
Choice ni yako kama unaona sawa
Kaka we acha tu kuna majanga ya kiuchumi yamenikumba mipango yote haiwezekan kwa mwaka huu mpaka mwakani tenaPole Sana bro. Kilichotokea Ni kwamba girl wako kapata bwana mpya na jamaa kaja na gia ya kuoa (likely anataka kufanya hivyo kweli) Ila girl anahisi anapenda kuolewa na wewe zaidi Ila pia hataki kukosa ndoa. So uchaguzi Ni wako eiza utangaze ndoa au akaolewe na jamaa
By the way kwanini hutaki kumuoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Cndo maana nimekuya kwenyu mnipe kausauri dadakeChoice ni yako kama unaona sawa
Me mwenyewe moyoni nimefrahi sana maana kajiondoa mwenyewe kikosiniNa ww akikuomba hela mwambie subiria mpaka nikuoe ndio nikuhudumie [emoji41]
Mkuu una kazi unafanya?Yoyote tu ile? If yes, usiogope hadi uchumi uwe mkubwa.Kaka we acha tu kuna majanga ya kiuchumi yamenikumba mipango yote haiwezekan kwa mwaka huu mpaka mwakani tena
Nilimwambia na akahaidi kunivumilia
Sent using Jamii Forums mobile app