huyu mtu ni nani?

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
afa
huyu mtu ni nani?? anaitwa tin dad namuona sana na wasanii wa bongo flava je ni mwanamuziki mbona sijawahi msikia? au ni mpambe?

hata kwenye msafara wa fiesta alikuwapo je ni mwajiriwa wa clouds? au tapeli tu au kuwadi?
 
kuna watu wanafanya kila jitihada wawe maarufu..wakati wengine tunasaka mshiko tule wapi happy kila weekend,wao wako busy kujipendekeza..pambafu
 
walioko kwenye music si wanajipendekeza tu na wengine ili wapate dada zetu wawachezee basi na nyie madada mmefika wakati mjitambue si kila unaemuona anazunguka na msanii au yuko kila tamasha basi unajua hapa poa wengine utumwa maji shauli yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…