Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,646
- 164,798
Nikitazama mwenendo wa huyu mtu na nikikumbuka kauli yake ya siku za nyuma juu ya kujutia nafasi alioyanayo,naanza kupata hisia huenda 2020 hana mpango wa kugombe tena bali hii ni siri yake kwa sasa ila wakati ukifika atasema na kuwashangaza wengi.
Kauli,mwenendo na matendo yake havionyeshi kama anahitaji tena kura za watu na ni wazi sasa anaona watu hawa ni mzigo kwake na pengine hana hamu nao kabisa ila anasahau kuwa sera na maamuzi yake navyo vimechangia sana hali hii kutokea.
Tusubiri muda ndio msema kweli.