balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,786
- 15,570
👍Siungi mkono kutekwa Kwake
Unafikiri vitu alivyokuwa anavipinga havikuathiri?Siungi mkono kutekwa Kwake na si shabiki wa watesi wa Watanzania. Ukweli ni kwamba alitusaliti na kutubana ga.Wakati ule anatutambia na alichokiita yeyə Viety alitupitisha via də la rosa.Watanzania tuwe na msimamo, Huyo ni ntu wao, wanajua watendalo ni Mambo yao.
Kwani alivyokuwa anavitetea wakati wa jiwe haviniathiri?Unafikiri vitu alivyokuwa anavipinga havikuathiri?
Pesa za kutoa huduma za kijamii zinaenda mifukoni wa Samia na genge lake. Usije kulalamika kuhusu huduma mbovu za afya, elimu, barabara, mfumuko wa bei, ukosefu wa ajira, kuongezeka vibaka, majambazi mtaani, wewe kutekwa siku moja.Hayo yatakuwa matokeo ya uongozi mbovu wa Samia.
Nimemuona John Heche, amekua sana kisiasa anapigania wananchi wote hata CCM waliotekwa.
Amevuka level za kugawanywa kitoto kwa vyama, dini, kabila awamu. Anapigania maslahi ya Tanzania na wananchi wote badala ya maslahi binafsi, au ya kabila au ya chama chake pekee.
Viongozi ndio kama hawa ndio wanafaa kuongoza hili Taifa.
Wakati ana shabikia mao vu ya jiwe alikuwa insane?Tupambane na mfumo ambao pengine unahisi yeye ni mnufaika wake .
Kwa kufanya hivyo unakuwa siyo tu umechangia kumnusuru na kifo (kama bado yupo hai) bali utakuwa utakuwa umejitengenezea mazingira salama ya kesho yako na yavizazi vyako
Kwa tafasiri hiyo hoja ya usafi au dhambi zake kwasasa haina tija kwako wala kwake , na kibaya zaidi , ikitokea umeshupaza shingo , ipo siku nawewe yanaweza kukukuta kama yalitomkuta tena kwa kosa lilelile la kujiona wewe siyo miongoni mwa wale watakaokuja kuguswa na yanayopigiwa kelele na wengine .
Shtuka.
Huyu ni Magoti a k a Nyama choma ya porini wa ki azı cha jiweView attachment 3486974
Kila nikiangalia hii clip huwa huruma inanitoka sana kwa huyu msenge kmmmk walitamba na kula sana keki ya taifa enzi za dikteta
Kwahiyo hata ukitekwa sasa hivi au ndugu yako Watanzania wote wakae kimya kisa awamu ya JPM uliathirika?Kwani alivyokuwa anavitetea wakati wa jiwe haviniathiri?
Exactly!! Ni unafiki leo kuanza kumtetea Polepole. Wacha anywee kikombe alichokitengenezaSiungi mkono kutekwa Kwake na si shabiki wa watesi wa Watanzania. Ukweli ni kwamba alitusaliti na kutubana ga.Wakati ule anatutambia na alichokiita yeyə Viety alitupitisha via də la rosa.Watanzania tuwe na msimamo, Huyo ni ntu wao, wanajua watendalo ni Mambo yao.
Ndiyo!! Maana Magufuli na Polepole ndiyo walianzisha mtindo wa kutekana na kuuaKwahiyo hata ukitekwa sasa hivi au ndugu yako Watanzania wote wakae kimya kisa awamu ya JPM uliathirika?
Huyu Polepole anywee kikombe alichokuwa ananywesha wenzieView attachment 3486974
Kila nikiangalia hii clip huwa huruma inanitoka sana kwa huyu msenge kmmmk walitamba na kula sana keki ya taifa enzi za dikteta
Huyo siyo hoja yanguKwahiyo hata ukitekwa sasa hivi au ndugu yako Watanzania wote wakae kimya kisa awamu ya JPM uliathirika?
Hoja yako ni ipi?Huyo siyo hoja yangu
Wanafki ni ambao walikuwa wakipinga utekaji na uuwaji kipindi cha Magufuli ila sasa hivi hawazungumzii kabisa hayo mambo ingawa bado yanaendelea.Exactly!! Ni unafiki leo kuanza kumtetea Polepole. Wache