Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe! JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, !
ukome kuchakachua bila condom...:smile-big::nono:

changa hilo stuka! dem mwenyewe wa kichaga?
TENA Tue Nov. 2010, Soln ni DNA test.Kaka wewe mkali.
Post yako ya kwanza moja kwa moja umefunga goli la kisigino!
Nways, pima damu na dna baada ya mtoto kuzaliwa.
Next time tumia kinga.