Huyu mtoto wa kichaga kanibambikia au?...plse help!

Ngoswe1

New Member
Nov 16, 2010
2
0
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8.

Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe!

JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!
 
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe! JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!

changa hilo stuka! dem mwenyewe wa kichaga?
 
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, !

Hata mara moja inatosha - hicho si kigezo cha kukataa.
 
Kaka wewe mkali.

Post yako ya kwanza moja kwa moja umefunga goli la kisigino!

Nways, pima damu na dna baada ya mtoto kuzaliwa.

Next time tumia kinga.
 
ukome kuchakachua bila condom...:smile-big::nono:

Ana hatari huyu!!!!! Yaani kukutana naye tu unamlamba bila condom! Unategemea nini? Halafu mimba siyo lori la mchanga kwamba unaweka kidogokidogo mpaka lijae goli moja linaweka mimba we subiri then ukafanye DNA Test. Ila kama ni mmarangu wa maeneo ya mamba na kokirie POLE SAMAKI..........
 
ivi unaposema kakubambikia au unamaanisha nini ushapima DNA ukaona sio wa kwako au ulimgeuza binti wa watu mapoozeo yako wakati yeye alikuwa serious na wewe halafu kusema anataka umuoe haimaanisha anaforce ndoa inawezekana kabisa ana hofu ya kiumbe kinachokuja atawaeleza nini wazazi wake kama ni binti katokea kwenye familia yenye maadili au atamlea vipi mtoto peke yake sio kila wakat watu wanalengesha ili waolewe wewe ndo unamjua tabia yake kaa nae na kama humtaki mwambie usije ukaharibu malengo yake ya maisha ulikuwa pipi bila ganda ukategemea nini nyie ndo wale kina marioo yakija majukumu mnaficha sura zenu
 
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe! JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!

Having a Child with someone sio lazima umuoe kama umpendi kuzaa na mtu kusiwe kigezo cha kulazimishana ndoa, ila Kumzalisha Mtu kichaa yeyote (yaani mtu yoyote anaweza) Tofauti ya wewe kuitwa baba ni kumtunza mtoto kwahiyo vema kama unao uwezo mimi nakushauri umtunze mtoto hata kama si wako biologically matunzo utakayotoa wewe ndio utakuwa baba wa kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom