Huyu mtoto wa kichaga kanibambikia au?...plse help!

changa hilo stuka! dem mwenyewe wa kichaga?

Tatizo hapo ni dem au uchaga? Waweza kuta na wewe ni demu/dume la kichaga. Ushafanya DNA test kuhakiki kama baba yako si Mchaga?

Watu wengine bana:doh::doh::doh:
 
Yalimkuta jamaa yangu ivoivo. Demu kakomaa mpaka akajifungua. Akaanza miundombinu mara ampeleke ustawi wa jamii sijui wapi, mwisho akaja huku kwenye baraza la sheria za mtaani. Tukamwambia aende akapime DNA kwa masharti kuwa ikigundulika mtoto sio wa jamaa demu atalipa gharama zote ikiwa ni pamoja na malazi na chakula plus siku zote atakazo kaa Dar. Demu kusikia hivyo njia aloishika haijaota majani mpaka leo. We mwambie mkapime tu mkuu. Suala la kumwoa ni uamuzi wako kama uko tayari ila nachelea kukwambia umwoe kwa sababu ulishajenga imani kuwa anakuchakachua hata kabla huajamtia ndani.
 
Having a Child with someone sio lazima umuoe kama umpendi kuzaa na mtu kusiwe kigezo cha kulazimishana ndoa, ila Kumzalisha Mtu kichaa yeyote (yaani mtu yoyote anaweza) Tofauti ya wewe kuitwa baba ni kumtunza mtoto kwahiyo vema kama unao uwezo mimi nakushauri umtunze mtoto hata kama si wako biologically matunzo utakayotoa wewe ndio utakuwa baba wa kweli

Kama alikuwa hampendi aliwezaje kulala naye? Hiyo ni tabia chafu sana kuwafanya wadada wa watu sehemu za kupumzikia. Na mtaisha kwa Ukimwi kwa tabia zenu hizo.
 
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe! JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!

Unapaswa ufahamu mimba haiingii mara mbili hiyo hiyo mara moja mtu anapata mimba, so kukutana naye mara moja au mbili kusiwe sababu ya wewe kuikataa hiyo mimba labda uwe na sababu nyingine au uwe unaelewa siku za mzunguko wa huyo mwanamke.
 
Having a Child with someone sio lazima umuoe kama umpendi kuzaa na mtu kusiwe kigezo cha kulazimishana ndoa, ila Kumzalisha Mtu kichaa yeyote (yaani mtu yoyote anaweza) Tofauti ya wewe kuitwa baba ni kumtunza mtoto kwahiyo vema kama unao uwezo mimi nakushauri umtunze mtoto hata kama si wako biologically matunzo utakayotoa wewe ndio utakuwa baba wa kweli

as a woman ukizaa nje ya ndoa imekula kwako...
una ruin chances zako za kumpata mr right,and being a single parent is hard nchini kwetu ambako hakuna suport kutoka kwa serikali kama nchi nyengine...
ni mpaka hapo huu mfumo unaomlet down mwanamke single kuraise a kid on her own utakapobadilika ndio ndoa za kulazimishana kisa tu mmejazana mimba...zitakapoisha!:A S angry::smile-big:
kwa sasa ni kila mtu kuwa responsible na kutumia kinga...
 
:amen::amen::amen:
 
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe! JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!

kwa kuwa umedhihirisha ujali kapime kwanza HIV, pili natilia shaka uelewa wako wa sayansi ya uzazi ukweli ulia wazi ni kuwa hata tendo mara moja mimba inakamata. Usimhukumu binti kwa uchaga wake jilaumu wewe kwa kuwa dunga dunga hata kwa watu usio waamini. inakuwaje unampitia binti peku huku una imani nae hata kwa kukuambia kimekatikia? ACHA Ujanja wa kizamani kuhojihoji mimba wakati ulizembea kutumia njia za kuzuia mimba. kwa uhakika zaidi DNA ihusike baada ya mtoto kupatikana. hila tunza hiyo mimba na binti usika ujanja wa kuomba ushauri ili upate huruma za wana JF azina msingi timiliza wajibu na jukumu lako kwa mwanao mtarajiwa, akizaliwa kaka mama yako na dada zako wanamashaka kama kawaida ya waafrika DNA suluhisho
 
Tatizo hapo ni dem au uchaga? Waweza kuta na wewe ni demu/dume la kichaga. Ushafanya DNA test kuhakiki kama baba yako si Mchaga?

Watu wengine bana:doh::doh::doh:

Hivi Asprin ni Mchaga?:smile-big:
 
Hivi kuna mtu anategemea kwamba wana jf wana uwezo wa kujua mimba ni ya nani kwa kuhadithiwa peke yake?
 
na uhadithiaji wenyewe wewe umeuelewa vzr?...nilidhani angepiga hesabu zake vizuri kwa kumuuliza mhucka mimba ina muda gani then ingekuwa rahic kwake kuhic kama ni yake au laaa, na yeye hajui hayo.
 
kwa kuwa umedhihirisha ujali kapime kwanza HIV, pili natilia shaka uelewa wako wa sayansi ya uzazi ukweli ulia wazi ni kuwa hata tendo mara moja mimba inakamata. Usimhukumu binti kwa uchaga wake jilaumu wewe kwa kuwa dunga dunga hata kwa watu usio waamini. inakuwaje unampitia binti peku huku una imani nae hata kwa kukuambia kimekatikia? ACHA Ujanja wa kizamani kuhojihoji mimba wakati ulizembea kutumia njia za kuzuia mimba. kwa uhakika zaidi DNA ihusike baada ya mtoto kupatikana. hila tunza hiyo mimba na binti usika ujanja wa kuomba ushauri ili upate huruma za wana JF azina msingi timiliza wajibu na jukumu lako kwa mwanao mtarajiwa, akizaliwa kaka mama yako na dada zako wanamashaka kama kawaida ya waafrika DNA suluhisho

Ndaga ujhobhile Nkamu samahani hiki ni kinyakyusa (Umenena ndugu yangu)

mfahamishe mapema huyo mpenzi wako kuwa, Humkatai ila unamashaka kama huyo mtoto atakayezaliwa ni wako ikizingatiwa kuwa huyo binti mlikutana tu mara 2, ili kujiridhisha pasipo shaka, mjulishe kuwa mara tu atakapozaliwa mtoto mtakwenda muhimbili kupima DNA ili matokeo hayo yakupe uhakika kuwa mtoto huyo ni wako
 
ukome kuchakachua bila condom...:smile-big::nono:

yaani kukutana siku 2 tu kamwamini kihiiivyo!!!!!!!!!!!!!! sijui walipima maskini! najiuliza tu, kama kapata mimba maana yake kila kitu kinawezekana.................... mweeeeeeeeeeeee!
 
Jamani Katika karne hii, Hivi bado kuna watu wanakula "Nyama kwa NYama" ? bila kuangalia huku na kule, Kweli kizazi kinaelekea kubaya!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe! JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!
Hivi.....kwa nini uwe na shaka...............KWANI HUNA UWEZO WA KUMPACHIKA MWANAMAMA MIMBA.......??
 
Back
Top Bottom