pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,641
- 6,267
Inasikitisha sanaNi nini hiki ati? Dah ndio maana hadi leo naogopa kuajiri mfanyakazi kwa ajili ya mtoto wangu.
NI MAZOEZI GANI HAYO ! NA HUYO SI MTAALAMU WA MAZOEZI KWA MINGUO HYO!Hayo ni matibabu ni mazoezi na huenda huyo ni mtaalam wa mazoezi ukimwangalia vizuri huyo mtoto ana mwili wa ulemavu na hata huyo hivyo huyo mama anaongea nae in polite language
Mazoezi mpaka mtoto anatoa damu mdomoni... Asee kwa staili hii atakufaHayo ni matibabu ni mazoezi na huenda huyo ni mtaalam wa mazoezi ukimwangalia vizuri huyo mtoto ana mwili wa ulemavu na hata huyo hivyo huyo mama anaongea nae in polite language