View attachment 343600View attachment 343601View attachment 343602wadau oneni uwezo wa huyu kijana,kuna haja ya mitaala ya elimu africa kupitiwa upya ili watoto wanaonesha uwezo kama huyu kupewa mafunzo maalum ili waje kuzisaidia nchi zao baadae...
Mbona hilo wazo lako Kikwete alishaliona zamani na kuna chuo cha vijana wenye vipaji maalum vya sayansi pale Bagamoyo, hao vijana ni kutoka Afrika nzima. Kuna vijana kama 50 pale na walimu ambao ni magwiji wa sayansi kutoka kila pembe ya dunia wanawasimamia.
Hebu tulinganishe huyu na yule aliyekuwa UN akaongea na ma_rais kadhaa wa dunia, yupi mwenye uwezo?
Kwa mtizamo wako na ukingo wa akili yako umeishia hapo ndio maana unaona hakuna faida yoyote, ila faida zipo hamsha akili utaziona!.Sidhani kama ni sawa kuwalinganisha coz haitakusaidia kitu na wao pia haitawasaidia chochote
Mbona hilo wazo lako Kikwete alishaliona zamani na kuna chuo cha vijana wenye vipaji maalum vya sayansi pale Bagamoyo, hao vijana ni kutoka Afrika nzima. Kuna vijana kama 50 pale na walimu ambao ni magwiji wa sayansi kutoka kila pembe ya dunia wanawasimamia.
ah!! Bagamoyo sehemu gani hicho chuo kipo?Mbona hilo wazo lako Kikwete alishaliona zamani na kuna chuo cha vijana wenye vipaji maalum vya sayansi pale Bagamoyo, hao vijana ni kutoka Afrika nzima. Kuna vijana kama 50 pale na walimu ambao ni magwiji wa sayansi kutoka kila pembe ya dunia wanawasimamia.
Sipingi wazo hili ingawa sijaona kama hicho chuo peke yake kitatosha katika kuwakuza watoto wa kitanzania kwenye mfumo wa kuvijua vipaji vyao na kuviendeleza...
Mfumo wetu wa elimu ni mbovu kwa ujumla kwa kuwa huishia katika madaftari na kumkuza mtu katika njia ya kutafuta ajira tu...
Fikra pevu, vipaji endelevu , wasomi wenye kujiamini na wanamaendeleo wataletwa kwa mfumo mpya wa elimu..
Vijana wengi wana vipaji na tena zaidi ya huyu lakini wamekwisha kukatishwa tamaa..
TUWEKE USHABIKI PEMBENI PALE LIJAPO SUALA LA UTAIFA WETU ....
....ila serikal ya hapa ndo unaweza ht jela kwa uvumbuzi