Huyu mtoto ana kipaji

Nchi hii ya kinapangu pakavu hawaoni inayoisibu nchi kazi kutuletea division 5 wanatoa elimu ya kukremu...vitu instead kuwafunza vijana kuja kuwa mainterpreneur huyo watamchangamkia majirani zetu soon utasikia katoka Kenya...
Kenya hoyeee' hawa jamaa ni hatar wanacheza na timing
 
Hiii serikali yetu hapo kesho tu hawatakuwepo wataambiwa hawatakiwi kuwa kwenye hill eneo, na mambo watavunjilia mbali hizi Sana'a zao
 
Daahh hadi nimemuhurumia asee anaonekana katoka ktk familia fukara.daahh hawa ndo kina einsten au newton ila serikal ya hapa ndo unaweza ht jela kwa uvumbuzi
 
Very nice.....

Kipaji kinatakiwa kuendelezwa, ila swali la kujiuliza ni nani atakiendeleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…