Huyu Mtangazaji wa michezo wa Clouds tv na fm huku kuongea kwa kubana pua ni maumbile au mapozi tu?

Kuna mtu mtu atakua ame hack acount ya getamycin mana hii sio yeye , with all due respect GETA wew ni legend hum so hiz mada za kigrobal news tuachie sisi amature.

Unapoteza bure muda wako kuniambia nibadilike na nikuhakikishie tu kwamba sitobadilika ng'o. Kuhusu ID yangu sijui kuwa ' hacked ' wala si kweli bali Mimi ndiye GENTAMYCINE yule yule umjuaye ila nina ' Principal ' yangu Kuu moja popote pale kuwa sipendi ' nitabirike ' au ' nizoeleke ' hivyo basi pengine hali hii ndiyo inawagharimu wengi wenu.
 
Amendika kitoto sana huyu wa nchi jirani

Angalia ulivyo Mbwiga / Mshamba eti hapo katika ' Signature ' yako umetuwekea Elimu yako sijui LLB, mara LLM mara tena sijui PGDL ukidhani labda ndiyo utatupiga ' mkwara / biti ' ili ukiwa humu tukuogope. Kumbe una Elimu ndogo hivyo? Nimefurahi kujua Kiwango chako cha ' Kitaaluma ' na sasa ndiyo nazidi Kukudharau / Kukupuuza.
 
Wakili msomi kaeleza kweli lakini Mkuu,hua una madharau na utoto mwingi lakini

msomi ka

Hivi wakisema wajitokeze Mawakili ' Wasomi ' na huyo ' Nguchiro ' wako uliyemtaja hapo atajitokeza? Ninavyojua Tanzania nzima Wakili Msomi hasa Kwangu Mimi ni Tundu Lissu, Peter Kibatala, Mzee Masumbuko Lamwai, Marehemu Mzee Kapinga, Mzee na Mbunge wangu wa Kutukuka Kwetu huko Jimboni Butiama Mzee Nimrod Elirehema Mkono, Albert Msando, Mtobesya Mwanamama Fatma Karume, Damas Ndumbaro na Professor Safari pekee na ninawaheshimu Kunakotukuka.

Labda kama ungeniambia huyo ni Wakili Mpuuzi ningekuelewa na hadi kukuunga mkono.
 
Achana na huyo pang'ang'a anayejiona anajua kila jambo na kuona yuko sahihi kwa kila wakati na sehemu

Ninachojua tu na kinachonipa ' Jeuri ' pamoja na ' Nyodo ' zote ni kwamba najua nipo Intelligent Naturally, Knowledgeable na nina Exposure ya kutosha tu ambayo nina uhakika pamoja na Kiwango chako chote hiko cha Elimu ulichonacho bado Kwangu unasubiri. Eti Mwanasheria hivi wakisema watoke Wanasheria na Wewe utathubutu kupeleka ' Msura ' wako uliopinda utadhani Lori la Leyland limepata ajali?
 
Mosi ninachojua tu ni kwamba humu Jamvini hakuna mada ya Kitoto, Kizee wala Kiutu uzima na kama ingekuwa ni hivyo basi tungewekewa Vigezo vya jinsi ya Kuanzisha mada na vinavyoendana na Umri wetu ila bahati nzuri tu ni kwamba hili ni Jamvi huru linaloratibu mawazo huru.

Pili GENTAMYCINE nina aina yangu ya kuanzisha uzi na hata Kuichokoza hiyo threads ili iweze kuleta maana akisi ili idadavuliwe na mbinu kubwa katika threads zangu zote huwa naongozwa na kitu Kiuandishi kinaitwa ' anecdote ' na ndiyo maana pamoja na Wewe kusema huo upuuzi / upupu wako wote hapo juu bado GENTAMYCINE anabaki kuwa ni Mtu anayefuatiliwa na wengi humu Jamvini kila uchao hata kama nitaanzisha uzi ambao Wewe utaona si wa hadhi yangu.

Tatu sikujiunga humu JamiiForums ili nilinde au sijui nipate hadhi kwani nimeanza kuwa na hadhi tena kubwa tu hata kabla sijajiunga rasmi humu Jamvini mwaka 2013 ila ninachoshangaa tu ni kwamba japo Wewe ulinitangulia kuwepo humu JF lakini Mimi niliyejiunga mwaka mmoja baadae nimekuzidi kwa kuwa maarufu na kukubalika sasa sijui hiko Kigezo chako kuwa hadhi yangu inashuka umekitoa katika Sayari gani labda iwe ni Sayari ya Wajinga / Mangumbaru wenzako.

Nne nakupa tu assignment ndogo anza kufuatilia threads zangu zote ambazo nimekuwa nikiwaanzishia hasa Watangazaji wa Electronic Media kisha waangalie wale ' Characters ' wote niliokuwa nikiwasema kwamba wamebadilika au wapo vile vile? Mmoja wapo wa hapa juzi tu alikuwa ni Mtangazaji wa BBC Swahili Salim Kikeke ambapo kuna vitu nilimkosoa japo kuna ' Wapuuzi ' wenzio humu walinishangaa na hadi kunishambulia ila nikuhakikishie tu kuwa katika yale mapungufu yake ( Salim Kikeke ) niliyomtajia 75% ameachana nayo na nadhani hata leo usiku Saa 3 Kamili hadi na Nusu atakuwa zamu akisoma News Bulletin mfuatilie ndipo utajua vyema impact ya GENTAMYCINE ambayo kama ukiwa na IQ ya punje ya mchele kamwe huwezi kuiona.

Tano kamwe na tena ukome kutaka kunibadilisha Mimi GENTAMYCINE hasa juu ya maandiko yangu humu Jamvini na labda tu nichukue fursa hii adhimu kukuhakikishia kuwa sitokuja kubadilika kwa aina yangu yangu ya Uandishi na Uchangiaji humu halafu huwa siwalazimishi muwe mnazifungua threads zangu au hata kuzisoma posts zangu bali nadhani huwa ni ' Viherehere ' vyenu tu vinawapanda.

Sita katika Uandishi kuna ' technique ' moja muhimu mno ambayo inatumika nayo huwa ni ' Teaser ' na ndiyo maana kama una akili sawa sawa ungeweza tu kuelewa mapema kwamba kwanini nimekuja na Headline ya aina hiyo kisha katika ' Content ' ya uzi nikachombeza na hiyo Sentensi ya ' Sisi Watu wa Pwani ya Bahari ya Hindi '. Kuna Hoja kubwa hapo ya Kihisia nimeianzisha ambayo sidhani kama kwa upeo wako utaielewa.

Saba na mwisho labda nikusaidie tu kukuambia kwamba huwa sianzishi humu threads kama kwa ' chuki ' dhidi ya hao niwaowataja na wapo ambao hunifuata hadi katika PM kusema kuwa nimeona mbali na nimesaidia kitu fulani cha kuwabadilisha Walengwa. Na laiti ungejua kwamba hivi ninavyowasema ndiyo nawasaidia na kuwajenga wala usingekurupuka kama vile umebanwa na haja kubwa ya Uharo kuja na takataka yako hii.

Kumbuka ya kwamba GENTAMYCINE ni ' Purely Talented, Charismatic Fella and a Game Changer '.

Nimemaliza.
Hahaha hilo ni jibu tu?! Duh kweli wewe Gentamycine
 
Ukiona mtu analazimisha kuwa yupo juu,au mawazo yake yaendane na kila mmoja.Pasipo na shaka ana walakini.Umeshauriwa mwisho wa siku,unatoa tu povu.Kama wewe unadhani unao uwezo wa kushauri.Ni lazima uheshimu ushauri wa wengine kwako pia.KUMBUKA KILA SIKU NI SIKU YA KUJIFUNZA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU!
 
Umeshashiba ndiyo umerudi kubishana, si ndiyo? Hapa utatoka kapa, watafute wakimbizi wenzako ubishane nao

Kumbe kuzunguka Kwako kote lengo lako lilikuwa ugusie tu ' Ukimbizi ' wangu? Sasa Wewe hushangai na hujiulizi kwamba pamoja na huu huu ' ukimbizi ' wangu tena wa kutoka Rwanda katika Kabila langu la ' Kitutsi ' bado nina ' influence ' hadi ndani ya Tawala za Taifa lako hili la Tanzania? Wewe na huo Uwakili sijui Uanasheria wako na hiyo Elimu yako ndogo japo Wewe unadhani ni kubwa umeweza kuwa na ' ushawishi ' gani ndani ya nchi yako hii? Hivi huoni aibu Mimi GENTAMYCINE ' Mkimbizi ' nakuwa na ' amri ' ndani ya ardhi yako hii kuliko hata Wewe mzawa? Na Sisi Wanyarwanda tutaendelea kuwatawaleni hadi mkome au hadi mtakapobadilika na hayo mabadiliko yenu yaanzie Vichwani Kwanza katika IQ's zenu.
 
Kumbe kuzunguka Kwako kote lengo lako lilikuwa ugusie tu ' Ukimbizi ' wangu? Sasa Wewe hushangai na hujiulizi kwamba pamoja na huu huu ' ukimbizi ' wangu tena wa kutoka Rwanda katika Kabila langu la ' Kitutsi ' bado nina ' influence ' hadi ndani ya Tawala za Taifa lako hili la Tanzania? Wewe na huo Uwakili sijui Uanasheria wako na hiyo Elimu yako ndogo japo Wewe unadhani ni kubwa umeweza kuwa na ' ushawishi ' gani ndani ya nchi yako hii? Hivi huoni aibu Mimi GENTAMYCINE ' Mkimbizi ' nakuwa na ' amri ' ndani ya ardhi yako hii kuliko hata Wewe mzawa? Na Sisi Wanyarwanda tutaendelea kuwatawaleni hadi mkome au hadi mtakapobadilika na hayo mabadiliko yenu yaanzie Vichwani Kwanza katika IQ's zenu.
Kwamba unainfluence kwenye taifa letu.....mbona hata hatukufahama...tunakujua kwa id fake hiyo....
Acha kujikweza wee jamaa....Hiyo Tanzania ni kubwa sana mpaka uanze kujisifu kwamba unainfluence....
Kama Ulikosea ulimaanisha unainfluence RWANDA hapo sawa....
 
Maana ya jina lako hili unalolitumia humu kwa lugha ya Kwetu Kinyarwanda ni mavi ya / kinyesi cha Mtu mzima ambaye amekunywa Pombe kali ya Kienyeji hivyo nilivyoliona tu wala haijanisumbua sana.
Nadhani siyo maana yake ila ni njia ya kujilinda, nawaza tuu
 
Kwamba unainfluence kwenye taifa letu.....mbona hata hatukufahama...tunakujua kwa id fake hiyo....
Acha kujikweza wee jamaa....Hiyo Tanzania ni kubwa sana mpaka uanze kujisifu kwamba unainfluence....
Kama Ulikosea ulimaanisha unainfluence RWANDA hapo sawa....

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza Hopeless mkubwa Wewe. Tafuta unaofanana nao kwa akili ' haba ' mbishane na siyo Mimi tafadhali. Aliyekuambia Mtu kuwa na Influence katika nchi au taifa fulani ni lazima ajulikane ni nani? Strategically hilo neno ' influence ' lina dhana / maana pana mno ambayo inaweza kujulikana na isijulikane vile vile. Nadhani sasa utakuwa umeshaelewa ni kwanini nimekuambia una uwezo mdogo wa kunielewa na hata kujenga hoja na Mimi. Pole sana na Tanzania yenu itaongozwa na kutawaliwa na ' Wageni ' hadi pale akili zenu zitakapowakaa sawa. Mmechelewa mno!
 
Atasema amehackiwa

Huwa sina huo upuuzi kama wengine na haitokuja kutokea hata siku moja ID yangu ' Brand ' kwa sasa kuja kuwa ' hacked ' na mpuuzi kama siyo takataka yoyote yule. GENTAMYCINE ni yule yule wa siku zote juzi, jana, leo, kesho na mtondogoo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom