Huyu msichana vipi?

Uliimbwa na JUWATA Jazz siku hizi Msondo Ngoma muimbaji alikuwa kipofu sasa ni marehemu Nico Zengekaya.
hivi uliimbwa na nani vle? kwa sisi tliokuwa miaka ya 70 to 80 ilikuwa ni kitu cha kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…