Nimesikiliza leo kipindi cha njia panda cha clouds FM; kuna msichana alikuwa akieleza alivyokulia na kusoma Kwa shida sana Kwa kutegemea Dada yake Muuza mihogo na viazi; kiufupi kapitia shida sana hadi kufikia alipofikia ni neema ya Mungu tu, tena kajitahidi sana hata kukwepa mikiki mikiki ya kurubuniwa kutokana na shida zake; (kutokana na mda story nzima sitaiweka hapa)
Kinachosikitisha zaidi ni pale aliposema dada yake alijinyima kwa kukaanga mihongo ili angalau mdogo wake afike hatua ya kuingia chuo kikuu apewe mkopo, lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa. hajapata hata mia kiasi hadi kaamua kurudi nyumbani tu kutafta njia nyingine ya kupata msaada. Hili jambo limenifanya nijiulize jambo "TUTACHANGIA WANGAPI?" maana humu jF kiila siku michango, Je; serikali kupitia bodi wanasaidiaje watu ambao wanashida kama huyu na hawawezi toka hadharani? Tunatengeneza taifa gani? kwanini bodi ya mikopo isiweke japo utaratibu wa kupewa feedback kupitia ofisi ya Dean of student kwa wanafunzi ambao kwa bahati mbaya walisahaulika kupatiwa mikopo ili wawahudumie? TUNATENGENEZA TAIFA LA OMBA OMBA WAKATI SERIKALI IPO, WATU WANAPOTOA HAIMAANISHI WANACHO BALI NI MOYO TU; JE TUTACHANGIA WANGAPI?
SWALI; 1. Hivi bodi ya mikopo ipo kwa ajili ya kuakopesha kina nani?