Hivi kumbe bado kuna watu siku hizi wanatongoza?Kumbe na ww domo zege mwenzake stail gani hizi za kutongoza huo ni umamaa wanaume wa Dar bna agh!!
Hahaha hvi miaka 21 ni miaka midogo sana enheMungu anisamehe ila kusoma miaka yako tu kumenipotezea mood ya kusoma uzi wako
Eeeh. Mi umri huo nilikua nawaza watu wanawezaje kujiua au kulia kwa mapenzi.Hahaha hvi miaka 21 ni miaka midogo sana enhe
Miaka 21 si mingi ila si michache sana binafsi miaka hyoEeeh. Mi umri huo nilikua nawaza watu wanawezaje kujiua au kulia kwa mapenzi.
Nilikua nasema sitaolewa sababu siwezi kutiana kila siku. Nilikua hata sijui kama kuna kuwa horny au kumpenda mtu mpaka unadata.
Ndo maana namshangaa mwenzangu maana najua anatakiwa awe busy na shule
Eeeh. Nilikua naona sex ni mateso flani hivi.[emoji23][emoji23][emoji23]Miaka 21 si mingi ila si michache sana binafsi miaka hyo
nilikuwa mgumu ile kweli kweli.
Ila umenifurahisha hapo kwenye kukataa kuolewa ulihisi kila siku itakuwa mwendo wa mechi wewe
Ila sasa hvi unaonaje[emoji23] [emoji23]Eeeh. Nilikua naona sex ni mateso flani hivi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida ya PUNYETO hiyo wala asificheficheSasa demu wa nini n wakati we unaonekana kabisa ni katibu muenezi wa chama pendwa cha chaputa
[emoji23][emoji23][emoji23]daahDawa yake kumpigia nyeto tu chooni yaan ukifika unamvutia hisia mpaka wazungu wanakuja
Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.
Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa.
Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbiokipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.
Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.
Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa
Dah! kaka mkubwa hapa unaelekea kuisoma namba kabisaaa. Hivi hivi tabu unaifuata. Fanya hivi,make sure you dump all those feelings. Jizoeshe kwanza kuwachukulia wanawake kama wa kawaida tu. Tafuta rafiki tu wa kike piga naye story sana, wazoee. When umeweza kuget hold of your feelings mfuate huyo dada. Saa nyingine unaeza kuta ni uoga wako tu ukishazoea wasichana unamuona wa kawaida.Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa
Sijashanga sana jina la profile limekudefineHivi kumbe bado kuna watu siku hizi wanatongoza?
Mie nilishasahau kutongoza ila huwa nikimtamani demu naomba mbunye ananipa nagonga mhuri nasepa.
Mkuu kwa hiyo hujawahiWakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.
Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa.
Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbiokipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.
Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.
Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa
Acha kumdanganya kijana mbona mimi nimeanza kuonja mbunye tangu nikiwa chekechea?
Nimefika secondary nilishatomba mpaka wake za waalimu.
Kweli kabisaa