Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,028
- 2,252
Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.
Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa.
Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbiokipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.
Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.
Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa
Sura jomba.. ukiwa na kale kaprivate face pole yako mademu wakali utaishia kuwaita mashemeji tuhaya mambo hayanaga utaalamu,unaweza kupewa jibu ukajuta kuzaliwa maishani halafu ukute umetoka familia choka mbaya na unamtongoza mtoto mwenye levo tofauti ya kiuchumi.
Si kweli mkuu,wakali wanaliwa na wenye cash;kama huna cash utaishia kula choka mbaya tuSura jomba.. ukiwa na kale kaprivate face pole yako mademu wakali utaishia kuwaita mashemeji tu
Kumbe mpaka pesa ndio ule basi huyo malaya..Si kweli mkuu,wakali wanaliwa na wenye cash;kama huna cash utaishia kula choka mbaya tu
huyu ni dogo msamehe tu.Daaah wasomi wetu hawa
wapo wa namna hiyo sikatai;kwako wewe unaweza kuona nikifaa ila kwa wengine tukaona sio kifaa.Kwa hiyo macho yako yanavyotazama yanakuwa ni tofauti na B atakavyotizama,kwako anaweza kuwa malkia lakini kwangu nikamuona chizi.Ndio mahusiano yalivyo.Kumbe mpaka pesa ndio ule basi huyo malaya..
Kuna she akikupenda hataki pesa yako mimi nimekutana nao kibao tu
Ila mshauri dogo achane na mademu chaputa ni nzuri akitaka kutoboa xulwapo wa namna hiyo sikatai;kwako wewe unaweza kuona nikifaa ila kwa wengine tukaona sio kifaa.Kwa hiyo macho yako yanavyotazama yanakuwa ni tofauti na B atakavyotizama,kwako anaweza kuwa malkia lakini kwangu nikamuona chizi.Ndio mahusiano yalivyo.
Kwa umri wake hiyo hali lazima imtokee,kwa sababu nasi tumepitiaIla mshauri dogo achane na mademu chaputa ni nzuri akitaka kutoboa xul
Umemdharau sanaKwanza niambie kirefu cha GPA.
Hivi vyuo ndo vinavyofungiwa.Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.
Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa.
Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbiokipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.
Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.
Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa
Nimemdharau mno??hata ww pia Kwa kutetea upuuzi kama huu.Hata ww niambie kirefu cha IQ,maana nina mashaka nawe kama kweli unaijua.Na kama unaijua basi itakuwa ni ndogo mnoooo.Umemdharau sana
IQ yako ni imefikia hapo kushauri unamuuliza GPA
Jikaze tu umuombe namba ya simu, mademu wa siku hizi ukipata namba yake tu tayari jiandae kutafuta Lodge kwenda kumtafuna!asante sana mkuu lakini sasa nawezaje kumuondoa akilini maana ameniganda sana