Huyu msichana ataniua hakika

😀😀😀😀😀
Mkuu naona umeamua kunitukana kabisa. Mimi nimeshatumbuliwa na nimeambiwa hakuna nitakachopata
😃😃😃 umetumbuliwaje wakati elimu yako hata mim nikirudia leo shule siwezi fika huo ufaulu wako wa kila stage
 
Muache dogo alie me mzungu alinitoa nishai nkachanganyikiwa husicheze na mapenzi, nkikumbuka ulivyokua unaumia kwenye uzi wako waga nacheka tuu
Wacheka nini sasa? Kuumizwa na mapenzi kawaida tu. Kunakufanya uwe makini ukikutana na mwingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣daaah upo chuo gani aiseee[emoji134]🏾‍♂️[emoji134]🏾‍♂️ unatia huruma
Huyu lazima yupo Yudizm!
Kwa mwandiko wake na trend ya matukio,ni hakika yupo hapo!
Lakini kubwa zaidi tumshauri ampe hela nyingi,anazopewa nyumbani ampelekee,na boom lake lote ampe tu!!!!
Halafu aendelee kumuogopa hivyo hivyo!!!
 
Wacheka nini sasa? Kuumizwa na mapenzi kawaida tu. Kunakufanya uwe makini ukikutana na mwingine.
Sio kawaida kwa nyinyi wasichana kuja kumpata mwingine mpaka kuoana sio rahisi, ila mungu akujalie ndugu
 
Naona unaelekea zimbabwe kama ID yako inavyosema!

In short, you are in very serious trouble.
 
😃😃😃 umetumbuliwaje wakati elimu yako hata mim nikirudia leo shule siwezi fika huo ufaulu wako wa kila stage


Usishangae kiuchumi ukiniacha mbali kama nikivyokupiga gap la ufaulu wa shuleni
 
cha kufanya usiogope.,mfate mueleze hisia zako na najua atakukubali tu.,story yako ni kama yangu na nilifanikiwa mpaka leo niko naye
 
kunywa valeur ndogo yote ile.. alafu tafuna big G ukate harufu.. ukmaliza ile ukiwa high mfate sasa mwenyew utaona kila kitu knaenda kam kweny script yko kichwan..

thank me later .
 
Tatizo dogo hilo,kama una namba yake ya simu,jaribu kumtumia sms yoyote ukimaanisha umekosea namba,kwa mfano jina lake ni x,we tuma sms ya namna hii...'jamani Y nielewe basi,nateseka kwa ajili yako' akiipata hiyo sms atashindwa kuielewa anaweza kujibu au kutokujibu..lakini wewe kuwa king'ang'anizi kuwa hiyo namba ni ya Y.baada ya hapo ni wewe kumalizia tu....
 
We lazima ulipita seminari, sio bure...
 
Endelea kuwa bikra mkuu...

Siku ukija kuonja papuchi utaambulia kupata chee na pengine ku disco kabisa...
 
Kumbe na ww domo zege mwenzake stail gani hizi za kutongoza huo ni umamaa wanaume wa Dar bna agh!!
 
Mwenzio kashajirusha uko ghorofani ROCK CITY Mall ww bdo unapoteza mda kuleta thread uku jf wai na ww ukajitupe nafasi ni chache mkuu
 
Kumbe na ww domo zege mwenzake stail gani hizi za kutongoza huo ni umamaa wanaume wa Dar bna agh!!
haya mambo hayanaga utaalamu,unaweza kupewa jibu ukajuta kuzaliwa maishani halafu ukute umetoka familia choka mbaya na unamtongoza mtoto mwenye levo tofauti ya kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…