heheeee umeshaambiwa uache 'majungu'
bado huelewi tu?...
ha haaa kusoma hujui na picha huoni?
vicheche vya mjini havina hata haya....alikusubiria wewe
uje na nyimbo zako but buzi lingine likaingia king fasta...
sasa wewe na nyimbo zako anakuita majungu...
nina uhakika atakutafuta na story ya uongo baadae
ili mchunwe wote lol
Habari...
nilikutana naye Saloon moja hapa mjini... akakubali kutoa namba na jana usiku tuliongea mengi tu (sikumtokea).
leo tukakubaliana tule lunch, akakubali...
lakini kutokana na foleni nikachelewa, aliniambia ameagiza chakula..
nilipofika kwenye mgahawa ule.. nikamkuta na njemba wakipiga story na kula pamoja... nikauliza mko wote akajibu hapana...
nikaenda kunawa.. lakini demu akaganda kwa njemba.. ghafla njemba akadai pale hapako fresh hivyo wasigee ndani kidogo msichana akamfuata huku akiniacha nawaangalia... nikamtext "vipi kumbe uko na mtu wako, akajibu ni kampani tu..
kikamwambia mbona hunichangamkiii sasa..akajibu niache majungu...
baadaye nikasepa.. baada ya kudai atalipa mwenyewe msosi. sikuwa na hamu tena ya kukaa pale//
swali huyu msichana vipi?,,,, nisepe au?

Hapo mwenye macho sikuzote haambiwi Tazama,kwa kuwa uliona mwenyewe ilitakiwa tu usepe fasta?
Acha upimbi huyo si mpenzi bali ni mshenzi.............