mkuu huwa kuonyesha upendo kwake na kumsaidia pesa za mahitaji madogomadogo kama mpenzi Wang lakin haonyeshi upendo kwangumkuu hizo pesa zako hazinan kazi?
nimejaribu kumuacha lakini Moyo unauma bado nampenda ukifikiria mambo mengi nilishamfanyiaChukua uamuzi wako binafsi
asante mkuu bora nichukue maamuzi magumu kuliko kuendelea kuumia juu yakeBrother unaibiwa fedha zako, muda na hisia pia, sasa kazi kwako!!
Haaa haaaa aisee umenichekesha sanaSasa imenibidi nicheke tu....
Wakuu wanakupa ushauri na kukupa picha halafu wewe unakazia kuwa "namhudumia kama mke MTALAJIWA", ngoja na sisi tukae kimya kama wanakamati WATALAJIWA wa harusi yako na maumivu ya moyo (a.k.a mke MTALAJIWA) wa maisha!!
sasa naamini unachokiongeaFimbo ya mbal haiuwi nyoka
Hebu jikaze then mpige chini huo ndo uanaume na sio kulialia humunimejaribu kumuacha lakini Moyo unauma bado nampenda ukifikiria mambo mengi nilishamfanyia
nimeshindwa kimuelewa ni mud a mrefu kama mwaka sasa nimekuwa nae lakini saizi simuelewi hivi najiuliza labda kwa sababu ya umbali inanipain sana kwa kweli , kila muda nafikiria kosa langu liko wapi kwanin yuko tofautiHuyo si wako, tafuta mwingine,Unampa salio lakini hata kwa SMS hakukumbuki?!!
mkuu wewe hapo umeshajua kabisa kama huyu mtu hakupend sema tu anapretend tu labda ili azid kupata support unayompa kiuchumi sasa mimi shida nayoiona kwako nji moja ni kwamba unashndwa kuukubali ukweli..hapo ndo tatizo lilipo bromkuu huwa kuonyesha upendo kwake na kumsaidia pesa za mahitaji madogomadogo kama mpenzi Wang lakin haonyeshi upendo kwangu
wakuu habari zenu Nina mpenzi Wang Mimi niko Tanga yeye yuko mbeya ila simuelewi nimekuwa nikimuhudumia kama mke Wang mtalajiwa mahitaji kama fedha za matumizi madogo madogo lakini nikimtumia huwa anakaa kimya mpaka nimuulize ndo huwa anashukuru , nikimtumia vocha huwa hajawai nipigia zaidi ya sms tu nayo mpaka nimtext wakuu msaada Wa mawazo na ushauri anaweza kuwa wife material kwel
Afu mi nko mbeya embu nipe namba yake nimchekiwakuu habari zenu Nina mpenzi Wang Mimi niko Tanga yeye yuko mbeya ila simuelewi nimekuwa nikimuhudumia kama mke Wang mtalajiwa mahitaji kama fedha za matumizi madogo madogo lakini nikimtumia huwa anakaa kimya mpaka nimuulize ndo huwa anashukuru , nikimtumia vocha huwa hajawai nipigia zaidi ya sms tu nayo mpaka nimtext wakuu msaada Wa mawazo na ushauri anaweza kuwa wife material kwel
Unadhan wahenga waliugua dengue waliposema fimbo ya mbal haiui nyoka
jamaa jinga kweli wewe

We jamaa hata kama humpendi mshikaji kuwa kibinadamu basi..., Anyways huwa hajibu labda kwasababu ya network inakuwa inasumbua sana hasa siku hizi.Mimi nakushauri uanze kumsomesha, au ashamaliza shule?