wakuu habari zenu Nina mpenzi Wang Mimi niko Tanga yeye yuko mbeya ila simuelewi nimekuwa nikimuhudumia kama mke Wang mtalajiwa mahitaji kama fedha za matumizi madogo madogo lakini nikimtumia huwa anakaa kimya mpaka nimuulize ndo huwa anashukuru , nikimtumia vocha huwa hajawai nipigia zaidi ya sms tu nayo mpaka nimtext wakuu msaada Wa mawazo na ushauri anaweza kuwa wife material kwel