Huyu mpenzi wangu simuelewi

Unampenda yupi kati ya hao?..Ila huyo wa Dar anaweza kuwa Magumashi..Na huwezi kujua uenda ana mtu wake huko..
 
Unampenda yupi kati ya hao?..Ila huyo wa Dar anaweza kuwa Magumashi..Na huwezi kujua uenda ana mtu wake huko..

Sio "anaweza" akawa huyo ni muhuni tu na dada ndio kafa kaoza
 
Hakika mkuu..dada zetu wamefanya ndoa kama njia ya kutokea kimaisha!..wako tayari kufanya lolote utangaze nia🙄
 
Sio "anaweza" akawa huyo ni muhuni tu na dada ndio kafa kaoza
Teh teh..Huwezi jua bana..Labda jamaa anajielewa..Sema bado hajawa tayari kuongelea ndoa..Huyu dada inabidi amuulize jamaa zen amsikie anasemaje
 
Teh teh..Huwezi jua bana..Labda jamaa anajielewa..Sema bado hajawa tayari kuongelea ndoa..Huyu dada inabidi amuulize jamaa zen amsikie anasemaje

Ah wapi.! Unawasiliana na mtu miaka miwili kimapenzi hata kugusia chochote hakuna??
Ila kaka mstaarabu hataki kumdanganya binti na kumpa mawazo ya kuolewa nae sababu anajua hana
 
limekaa kiugumu cha kufanya si kuwa na mtu tuu bali ni yupi kati yao unampenda and "kupanga ni kuchagua" ukishindwa mupanga manake umeshindwa kuchagua by the way take care!!!
 
Follow what ur heart tells u,the rest u hear from us mix with yours then conclude but never relay too much on other's suggestions especially on this kind of situation simply end of the day its ur damn future life depend on what u decide today
 
Ah wapi.! Unawasiliana na mtu miaka miwili kimapenzi hata kugusia chochote hakuna??
Ila kaka mstaarabu hataki kumdanganya binti na kumpa mawazo ya kuolewa nae sababu anajua hana
Nope..Uenda jamaa anaogopa kutangaza ndoa mapema coz hawajapata muda wa kukaa na kujuana vizuri..Kumbuka mapenzi yao kwa asilimia kubwa ni kwenye simu..Katika kipindi chote cha mahusiano yao wamekutana mara tatu tu..
 
Kupanga ni kuchagua, kama unahisi unampenda sana jamaa mpe mda si ajabu bado anaku assess.
NB. Mwenye nia ya ndoa hajifichi utamtambua tu
 
Nope..Uenda jamaa anaogopa kutangaza ndoa mapema coz hawajapata muda wa kukaa na kujuana vizuri..Kumbuka mapenzi yao kwa asilimia kubwa ni kwenye simu..Katika kipindi chote cha mahusiano yao wamekutana mara tatu tu..

Ngumu kumeza aiseee.... Ila kama anataka kugundua maumivu ya kukosa kote aendelee na jamaa wa dar tu mbona atakuja tena kuanzisha uzi humu
 
Ngumu kumeza aiseee.... Ila kama anataka kugundua maumivu ya kukosa kote aendelee na jamaa wa dar tu mbona atakuja tena kuanzisha uzi humu
yeah..Inabidi atulie kabla ya kufanya maamuzi..Coz hata huyo jamaa aliyetangaza ndoa anaweza kuwa mzinguaji vile vile..Si unawajua vijana wa siku..Wako ladhi hata kukuvicha Pete ya uchumba ili mradi tu wapate papuchi..Ukishawavulia chupi mara kadhaa wanakuacha na pete yako kidoleni
 
Kubali tu huyo mwenye malengo nawewe ndugu yangu... wanaume wenyewe wa dar?? mgegedo mpaka upate nafasi ya kuja? huna chako huku
Hivi hujui kuwa imeandikwa kuwa mwanamke huwa hapendi ila hupendwa na mwanaume? Hivyo aliye tayari kuoa ndiye wa maana
 
Mmejuana mwaka 2014 mmekuja kuonana mwaka 2015, kwa hiyo wewe ulitegemea baada ya kuonana kwa mara ya kwanza atangaze ndoa moja kwa moja wakati hajapata hata muda wa kukaa na wewe na kukufahamu kiundani zaidi ili ajue kama unafaa kuwa mke wake au la?

Angalia dada yangu, tamaa na shauku yako ya kutaka kuolewa haraka haraka isije kukusababisha ufanye uchaguzi usio sahihi. Muombe Mungu sana ili akusaidie kukuangazia ni yupi anayekufaa. Kumbuka "Mvumilivu siku zote hula mbivu" na "Haraka haraka, haina baraka."
 
mpige chini wa zamani anakupotezea muda mkubalie mpya uolewe mwishowe utazeeka mwanaume akikupenda kweri huwa achelewi kutangaza ndoa sasa huyo jamaa miaka yte hiyo wewe ndo unalialia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…