Nikiwa najiandaa kwenda kwenye shughuli za kila siku, nikapigwa na butwaa kumwona mpangaji mwenzangu wa chumba cha jirani akiwa katika hali hii.
Ndipo nikatoa simu yangu nikachukua kumbu kumbu.
Mh!..........................Nikiwa najiandaa kwenda kwenye shughuli za kila siku, nikapigwa na butwaa kumwona mpangaji mwenzangu wa chumba cha jirani akiwa katika hali hii.
Ndipo nikatoa simu yangu nikachukua kumbu kumbu.
Nikiwa najiandaa kwenda kwenye shughuli za kila siku, nikapigwa na butwaa kumwona mpangaji mwenzangu wa chumba cha jirani akiwa katika hali hii.
Ndipo nikatoa simu yangu nikachukua kumbu kumbu.
Ipo sana hii......
Mh!..........................
Huyu mpangaji mwenzangu yamemsibu yapi?kumbe mkuu wewe ni mwakilishi wa members wa humu?
Huyu mpangaji mwenzangu yamemsibu yapi?
Mkuu kubali umechemka tu!
Kwani hapo ulipouliza ulipenda ujibiwe na MEMBERS au GUESTS au WAWAKILISHI?
Wachina wanausemi "Make sure your brain is in gear before engaging mouth" kwa Kikwere ni "hakikisha umefikiria vizuri kabla hujatamka neno"
Wenzako tunasoma title za threads tu, na kujua kilichomo...
Inawezekana na yule mbele yake pengine ni ni mchungaji.