Huyu mke vp?


duuuh!!kuna sababu hapo
huenda kuna kinachomkera mkeo
kaa nae muulize taratibu,wala
haina haja ya nyumba ndogo,huwezi kutatua
tatizo kwa kuongeza matatizo!!
mtoa mada ana uwezo wa kuvumilia sana na sijui kwanini ana lalamika wakati siku zote alikaa kimya.
 
Hivi wana jf, una mke wa ndoa, maisha sio mabaya kiuchumi, shida unapotaka unyumba kwa mkeo inakuwa ni mlolongo, sasa ni almost mwezi mmoja, dawa ya hili tatizo nini?

Umejaribu kuongea nae?
Kama hakuwa hivi mwanzoni basi kuna tatizo na mtu pekee wa kukwambia tatizo ni nini ni huyo mkeo na njia rahisi ya wewe kujua kinachoendelea ni kupitia mazungumzo kati yenu.
Hujachelewa,anza sasa kuzungumza na mwenzio.
 
Kaa nae chini mliongelee jambo hilo pamoja. Pengine kuna jambo ambalo linamkwaza hadi kuliona tendo kero na kutolitamani. Mwawenza anzia ngazi ya chini, wewe na yeye. Ikishindikana, songa mbele kutafuta suluhu zaidi.
 
umemaliza mkuu.
 
mtoa mada ana uwezo wa kuvumilia sana na sijui kwanini ana lalamika wakati siku zote alikaa kimya.

aaah wapi,mwezi mmoja tu
ameanza kulalalmika,je mke akipata ajali
akavunjika kiuno itakuaje?uvumilivu ziro hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…