Huyu mke vp?

sasa kama huachi hela ya matumizi atakupaje KIKAPU CHA MANYOYA
 
Sina muda wa kufanya yote hayo. Kimpango wake. Ukisikia ubwege,Hapo ndipo ubwege unapoanzia!
 
nimekupenda bure, like like like zote zako mkuu
 
Elimu haina mwisho, soma vitabu vinavyoelimisha masuala ya ndoa na ni vyema ukawaona washauri wa masuala ya mahusiano.
 
Elimu haina mwisho, soma vitabu vinavyoelimisha masuala ya ndoa na ni vyema ukawaona washauri wa masuala ya mahusiano.
Haswa! Mimi nilisoma vitabu vitatu vya dini kuhusu mambo ya ndoa. Hapa nimemdesea baadhi tu ya mambo!
 
sina muda wa kufanya yote hayo. Kimpango wake. Ukisikia ubwege,hapo ndipo ubwege unapoanzia!

dedication.
ukiwa unaonaeeeeh elimu ni ghali basi jaribu ujingaaaaa
(rudia tena na tena hadi upate usingizi) kwi kwi kwi
 
Duuu!!!!!!!majanga ongea na mkeo uelewe tatizo ni nini?maongezi ndo ufunguo wa kila kitu
 
yani usifanye hivyo tafuta tatizo ni nini kwa nini ataki umgegede yawezekana ushiki anapotaka..... uanaweza tafuta mwingine kumbe wewe ndo unatatizo ukazidi kujidhalilisha kwa hao wa nje..
wanawake bana,sasa hashiki anapotaka kwani atajuaje bila kuambiwa kuwa nifanye hivi?
 
Sina muda wa kufanya yote hayo. Kimpango wake. Ukisikia ubwege,Hapo ndipo ubwege unapoanzia!
aahahahaha,umeona eeh,yaani kama mtu unafanya mtihani wa cambridge bana,dah?..sijui pumua kidogo kisha mguse kwenye naniliu kwa sekunde tano kisha teremsha mkono hadi uelekeo wa nyuzi 60,damn!
 
Hivi wana jf, una mke wa ndoa, maisha sio mabaya kiuchumi, shida unapotaka unyumba kwa mkeo inakuwa ni mlolongo, sasa ni almost mwezi mmoja, dawa ya hili tatizo nini?

Nyumba ndogo,Bar Made,Wanafunzi wa Chuo,wafanyakazi
 
duuuh!!kuna sababu hapo
huenda kuna kinachomkera mkeo
kaa nae muulize taratibu,wala
haina haja ya nyumba ndogo,huwezi kutatua
tatizo kwa kuongeza matatizo!!
 
Hivi wana jf, una mke wa ndoa, maisha sio mabaya kiuchumi, shida unapotaka unyumba kwa mkeo inakuwa ni mlolongo, sasa ni almost mwezi mmoja, dawa ya hili tatizo nini?
Jamani tunavyowatafuta wanaume wa kutuoa huyo mwanamke vipi
 
Huko nyuma hali ilikuwaje???
Usijaribu kutoka nje ya ndoa kwani utakuwa umeondoa tatizo kwa kuongeza tatizo...kaa chini na mkeo ongea nae kwa upendo ujue tatizo liko wapi....
Wewe ni kichwa cha familia yako....
Kata ukimya sasa.
 
Hivi wana jf, una mke wa ndoa, maisha sio mabaya kiuchumi, shida unapotaka unyumba kwa mkeo inakuwa ni mlolongo, sasa ni almost mwezi mmoja, dawa ya hili tatizo nini?
No consumation, no marriage.
File divorce.
 
we ni nani hasa wa kunpangia cha kuandka?? Nimepewa onyo ya ban so usitake niikose jf.mind your own f*king biznes.
unapopewa onyo unatakiwa kubadilika na ujifunze kukubali mawazo tofauti na unayo tegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…