Huyu mke utamuweza kweli!!

Huyu mke utamuweza kweli!!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]WANANDOA WAWILI HELEN NA SONELE KATIKAPOZI.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]PEDE HIYO TARATIBU KWENYE KIDOLE CHA MKEWE HA!!KIJANA MBAYA WEWEEE!!![/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]KABAG!WENYE VIVU SASA NDO TAYARI HELEN SHABANGU NA SANALE MASILELA MARA BAADA YA KUVISHANA PETE.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]MOJA,MBILI....TATU CHAKO CHANGU CHUKUA MWAAAAA![/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

Chanzo:bapromas blog.
 
Atamuweza bila matatizo yoyote maana taratibu zote za maisha zitafuatwa.
 
Bado navuta image ni namna gani huyo bwa mdogo atakavyokuwa akipiga mbizi kunako bwawani...
 
Angekuwa muolewa ni mdogo na muoaji ni mkubwa ingekuja tafsiri nyengine tofauti

Bai ze wey muacheni bibie akambemende dogo
 
There is a hope jamnai 61 amemelemeta?
 
Huyu mwanamke anatakiwa kupelekwa mirembe kwenye wodi ya vichaa. Kichwani hakuna kitu hapo Sifuri kabisa.

9 vs 54 mwanamke anaitwa KICHAA,

54 vs 6 mwanaume anaitwa MTUME

Mfumo dume huo, mwacheni mama akajicheulie kijogoo chake kwa raha zake. Kama mbuai mbuai!
 
huyu mtoto sidhani kama ana wazazi. He knows nothing about love, how could he get married to such old woman. Najiuliza maswali mengi sana. Were they friends before marriage. Who aproached the other maana sioni uwezekano wowote wa dogo kuwa na sumu za kumtemea huyu bibi. Human rights orgs should save this child.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom