Huyu mke nimechoka?

Huyu mke nimechoka?

Kama unamfanyisha kazi kama punda unategemea nini? Nsye ni mwanadamu kama wewe, ana nyama kama wewe na ana moyo pia na pia anauhitaji kama wako... Lakini kama nyumbani kazi zimemuelemea hakuna mtu wa kumsaidia unategemee adungwe sindano za ganzi awe hajachoka. Au unarudi nyumbani usiku wa manane wakati ndio anaanza kupumzika unamtesa tu bure mtoto wa mwanaume mwenzio.

JIANGALIE WEWE KWANA UTAKUA UNA TATIZO. kama sivyo angalia systems hapo nyumbani zinamsaidia vipi asichoke kiasi hiko?

kuna muda natamani sana kutulia njia kuu kwani michepuko siipendi kabisa kwani hata kiuchumi hua inanidatisha kwa matumizi mabovu ya mkwanja wakati nina mtu wangu lakini kama mtu mwenyewe kila siku nikimgusa anadai kachoka hataki nifaidi mambo yetu yale hadi inafikia muda natamani kutoka ucku nikatafte demu because uvumilivu unakua mgumu jamani wanawake mbona mnakua ivyo bahna?
 
usione soo sema naye, funguka kama ulivyofunguka hapa,ila angalia nawe usiwe ni sehemu ya tatizo
 
Inawezekana na wewe ni mbabembabe sasa na yeye analipiza kwa njia ile ya "ukimwaga mboga....!!"

Mpaka uliamua kumuoa inamaana uliona mnaendana na unammudu pia! So, mabadiliko yake inamaana ni njia aliyoona inafaa kufikisha ujumbe wake kwako!! Na mpaka umegundua hilo it means ushaupata ujumbe!! Kazi ni kwenye kuutafuta huo ujumbe sasa ujue ana lipi moyoni...!! Kama utamtoa outing hayaa, kama utamtafutia kazawadi hayaa, kama utarudisha penzi kama siku unaanza kupiga sound hayaa....!! Cha msingi mpe nafasi afunguke mwenzio
Jitathimini kwanza kaka, inawezekana naye kachoka kugeuzwa choo, hapati mchomo unaomfikisha. Wakina dada wengi kama hawafikishwi mara nyingi huchukia hayo mavitu kaka. Sasa ole wako apate wa kumfikisha huko nje, utajuta kwa nini ulizaliwa mwanaume kaka
 
kuna muda natamani sana kutulia njia kuu kwani michepuko siipendi kabisa kwani hata kiuchumi hua inanidatisha kwa matumizi mabovu ya mkwanja wakati nina mtu wangu lakini kama mtu mwenyewe kila siku nikimgusa anadai kachoka hataki nifaidi mambo yetu yale hadi inafikia muda natamani kutoka ucku nikatafte demu because uvumilivu unakua mgumu jamani wanawake mbona mnakua ivyo bahna?

Duuh kumbe tupo wengi hawa watu wanatia hasira sana!unawekewa ratiba mara 1 kwa wiki haiingi akilini.Hapo mchepuko hauepukiki.Unaongea naye lakini wapi, hajirekebishi.Hawajui kuwa wanandoa yafaa wasilale na nguo ya ndani?wanafundishwa kila siku ktk kitchen party.Tena bora uwe na mke mama wa nyumbani wafanyakazi ndiyo tabu kabisa kila siku nimechoka
 
Jitathimini kwanza kaka, inawezekana naye kachoka kugeuzwa choo, hapati mchomo unaomfikisha. Wakina dada wengi kama hawafikishwi mara nyingi huchukia hayo mavitu kaka. Sasa ole wako apate wa kumfikisha huko nje, utajuta kwa nini ulizaliwa mwanaume kaka

Nijitathmini vipi?? Mana mie nimemshauri atafute kinachomfanya mkewe agome kutoa unyumba kabla hajaamua kutoka nje!!
 
kuna muda natamani sana kutulia njia kuu kwani michepuko siipendi kabisa kwani hata kiuchumi hua inanidatisha kwa matumizi mabovu ya mkwanja wakati nina mtu wangu lakini kama mtu mwenyewe kila siku nikimgusa anadai kachoka hataki nifaidi mambo yetu yale hadi inafikia muda natamani kutoka ucku nikatafte demu because uvumilivu unakua mgumu jamani wanawake mbona mnakua ivyo bahna?

POLE SANA
Unaweza ukamlaum - lakini wakati mwingine wanandoa wanakuwa hawana usawa katika nguvu za kudu ... unakuta mwanaume unataka walau kwa wiki mara 3/4 lakni mwanamke anataka mara 1/2. Ukiligundua hilo ni raisi kulicontrol ndo maana tumeagizwa kuishi nao kwa akili sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom