LEVEL
Senior Member
- Jul 4, 2013
- 195
- 51
kuna muda natamani sana kutulia njia kuu kwani michepuko siipendi kabisa kwani hata kiuchumi hua inanidatisha kwa matumizi mabovu ya mkwanja wakati nina mtu wangu lakini kama mtu mwenyewe kila siku nikimgusa anadai kachoka hataki nifaidi mambo yetu yale hadi inafikia muda natamani kutoka ucku nikatafte demu because uvumilivu unakua mgumu jamani wanawake mbona mnakua ivyo bahna?