Huyu mkaka jamani lol

mwambie ukweli utazidi kuumia bure then baadaya mwezi uje name uzii wa kuvunjwa moyo hapa,matatizo engine mnajitafutia tu wenyewe
 


He looks like this guy! Tena anapenda kuvaa vizibao wee utamtaka, huwa natamani nimuwao (nimuhug) kila wakati nikimuona.

Karibu mukwe, huyu ni mtoto wangu wa kuzaa mwenyewe ni mtoto wa tano kwenye uzao wangu ila bado mdogo nilimpata mwaka 1982
 
Una genye tuuuuuuuu ukibabuliwa utapoa
 
Nakushauri ujitathmini kwanza kama unampenda au unamtamani kutokana na hali yenu ya urafiki mliyonayo kwa sasa.

Mara nyingi urafiki hauzai ndoa nzuri ingawa ndiyo mwanzo wa uchumba kisha ndoa. Huwa tunajisahau sana na kudhani urafiki ni uchumba kumbe siyo.

Kuna wanaume wanaotumia story ili kupima hulka au tabia za mwanamke anakupa story kuhusu mambo ya kudu na fulani ili kukutia hofu au kuona kama utakua tayari kumshauri aache mambo hayo na madhara yake. Kama ni rafiki lazima utamshauri aachane na hiyo mambo na waweza mdokeza afanye uamuzi wa kuoa na kuwa mtu wake atakae mtumia atakavyo badala ya kuhangaika. Hapo utamsoma na kujua nini wazo lake juu ya kuoa na juu yako

Dada jitafiti, mtafiti kisha fanya maamuzi ya maisha.
 
unahitaj maombi ww! hv ushamwona m2 playboy na huwa anakwmbia lkn bdo unamtaka!!
kama hujui kufa tazama kaburi
 
wewe achakujiuza,uta...,alafu unamwagwa kiaina acha tabia yako ya kushobokea watu
 
Kuwa nae utambadilisha.....tumia kiuno chako vizuri
 


habari ndo hiyo sakapal, kijana anajitia umajinuni tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…